Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Ahahaha mi humu ndani waangaliaji wa mpira ndio wanalipia hicho kifurushi!mie kutoa lakimbili kasoro shilingi moja siwezi kwa kweli!muda wa kuangalia hiyo TV ni mdogo halfu nitoe lakimbili?

DSTV Mnatuuua!! 199,000 kwa Premium package ni ghali mno jamani mbona hiviii?mpira tunataka na diamond tunataka tumuone aaarghh
 
Last edited by a moderator:

Mi hata sijui kinalipiwa bei gani! #Kwahisaniyashemejiyenu
 
Jamani jamani sio fair hivi hahahahahaha .

Watu na levo zao.

ahahaha nina furaha isiyo kifani maaaaaaan!!dogo platnum yuko fasta kinyamaaaaaa!!hapa chibu....pale mzee wa fitina babutale....huku nyuma jembe fighter Salaam-sk.....kushoto dj bishoo...Romyjons......kulia bodyguard Mwarabu mtu mwenye nguvu zake.......mbele kidogo unamkuta dancer kiwango Moze Iyobo....aaaarghhh

Haters:!Are You Mad?Chinekeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…