Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahaaa poyeee kaangalie kwa Kimbley
Mi jana katika kuangalia channel list ndio nikaikuta MTV base na trace Urban lol! Sijawahi kujua kama zipo mi naangaliaga taarifa ya habari tu ITV. Yaani huyu mtoto #diamond ananifanya mi bibi ake nikeshe kwenye TV.

Ahahaha mi humu ndani waangaliaji wa mpira ndio wanalipia hicho kifurushi!mie kutoa lakimbili kasoro shilingi moja siwezi kwa kweli!muda wa kuangalia hiyo TV ni mdogo halfu nitoe lakimbili?

DSTV Mnatuuua!! 199,000 kwa Premium package ni ghali mno jamani mbona hiviii?mpira tunataka na diamond tunataka tumuone aaarghh
 
Last edited by a moderator:

Mi hata sijui kinalipiwa bei gani! #Kwahisaniyashemejiyenu
 
Namwona yemi alade akiimba kwa kiswahili nendeni kwa dalalimwanamke mkamcheki hahahahah

Diamond safi sana lugha inatanuka sasa.

Hapo veeepeeee!!!
 
Attachments

  • 1437147305144.jpg
    1437147305144.jpg
    51.8 KB · Views: 168
Jamani jamani sio fair hivi hahahahahaha .

Watu na levo zao.

ahahaha nina furaha isiyo kifani maaaaaaan!!dogo platnum yuko fasta kinyamaaaaaa!!hapa chibu....pale mzee wa fitina babutale....huku nyuma jembe fighter Salaam-sk.....kushoto dj bishoo...Romyjons......kulia bodyguard Mwarabu mtu mwenye nguvu zake.......mbele kidogo unamkuta dancer kiwango Moze Iyobo....aaaarghhh

Haters:!Are You Mad?Chinekeeeee!!
 
Back
Top Bottom