Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #581
Yap kama kawa jamaaa angu
Si ndio hapo sasa team moka wamepagawa hawa watu.
Si ndio hapo sasa team moka wamepagawa hawa watu.
Hakuna kupagawa mwalimu mzima unaharibu kiswahili,au unafundisha stadi za kazi?
ni profesa wa kuandika.
Hakuna kupagawa mwalimu mzima unaharibu kiswahili,au unafundisha stadi za kazi?
chibu hana mpinzani, team wasafiiiiii!
Kwan tupo darasanii humu???
Unajishaua eeh utanikuta pambafuu
Acha tabia za kike.
Tukubali tusikubali diamond ameupeleka mziki mbali nabado anakimbiza
Jamani mmeitazama "barua kwa diamond" umeimbwa na Dogo toka iringa....ni nzuri na inaelekea diamond atamsaidia yule jamaa...
A real superstar anatungiwa nyimbo jamani....a real superstar jina lake litatumika na watu ili watoke.
Lakini zaidi jina lake litatumika na wwliojiishia ili na wao wasikike tena
jamaa anajua kuimba ila anaasil flan ya misifa eb mchek hapa
nampenda diamond had naumwaaa