Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

jamaa anajua kuimba ila anaasil flan ya misifa eb mchek hapa
 
Attachments

  • 1.png
    1.png
    159.7 KB · Views: 238
Tukubali tusikubali diamond ameupeleka mziki mbali nabado anakimbiza
 
Jamani mmeitazama "barua kwa diamond" umeimbwa na Dogo toka iringa....ni nzuri na inaelekea diamond atamsaidia yule jamaa...

A real superstar anatungiwa nyimbo jamani....a real superstar jina lake litatumika na watu ili watoke.

Lakini zaidi jina lake litatumika na wwliojiishia ili na wao wasikike tena
 
Nimeiona leo Jamaa kajitahidi sana,

Anaitwa Demo kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom