Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyo ndo Daimond banaaaa hakuna chezeiyaaaaaaaaaaaaaa,,,Zari ndo maana nakupendajeeeeeeeee kimbizaaa mbayaaaaaaaaaaaaaa

Hahahaha nilijua lazima ushangilie...uknw the project continues
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyo ndo Daimond banaaaa hakuna chezeiyaaaaaaaaaaaaaa,,,Zari ndo maana nakupendajeeeeeeeee kimbizaaa mbayaaaaaaaaaaaaaa

Ni mambo kama haya ndo yanafanya wamchukie bure kijana wa watu.....
Sasa wewe mpaka mwanamke mwenye Bentley anamiminika tuuu mahaba atiii anytime babes hahaha......
Domo mwakani tunadate na mtoto wa Obama kabisa ilii wafeeee kabisa maana kwa zari tuu wanajichafulia nguo.........
 

Watakufa mbonaaaa watakua walking dead hhhhhaaaaaa hebu wekeni link tupige kura sieee
 

ha ha eti walio potea wanatumia jina la mond ili wasikike tena i like it.
 

ha ha ha hivi yule mvaa moka amesha toa video ya mwana?
 

wana safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…