Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamaa yuko vzr mbaya kuliko recent katoa I miss you na fire zitafute utz unatusumbua sana ndio maana tunajitoa ufahamu kutoona mafanikio yake
 
Kuna kupanda na kushuka katika mafanikio...kungekuwa Ni kupanda tu Basi maisha yangeboa.
Naseeb kilichomfikisha pale Ni hard work.Na wanasema hard work beats talent any day.
Tofauti na wasanii wengine naamini Naseeb hatakata tamaa.Akaze buti asonge mbele.[emoji123]
 
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…