Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ameutendea haki wakati wake! Hakufanya makosa kama wengineTatizo kwetu Mbagala
Nenda kamwambie
Nitarejea
My number one remix
Mdogo Mdogo
Kwishaaaaaaa kwa mtazamo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameutendea haki wakati wake! Hakufanya makosa kama wengineTatizo kwetu Mbagala
Nenda kamwambie
Nitarejea
My number one remix
Mdogo Mdogo
Kwishaaaaaaa kwa mtazamo wangu
Ughonile tata.!Wakati si milele! Ila hajuti kama wengine
Kweli kaka umeongea pointApunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Unataka kunambia zama zake zinamekwishaAmeutendea haki wakati wake! Hakufanya makosa kama wengine
Ndio anaondoka hivyo! Hata mgodi huisha vito na kufungwaUnataka kunambia zama zake zinamekwisha
Mmmh ngumu kumezaNdio anaondoka hivyo! Hata mgodi huisha vito na kufungwa
Bado tunamuhitaji sisi mashabiki zake kinachtakiwa ajipange aache kutoma kazi kwa mazoeaKama ni kupwaya.
Ametendea haki kipaji chake.
Babylon shall not rise again.Bado tunamuhitaji sisi mashabiki zake kinachtakiwa ajipange aache kutoma kazi kwa mazoea
Ayo ni maneno tu but akijipanga game bado bichi sanaBabylon shall not rise again.
Bado bado bwanaNdio anaondoka hivyo! Hata mgodi huisha vito na kufungwa
Kha jamaniUkizidi kukwea kwny Kilele cha Kilima tafsiri yake ni kuwa pia unakaribia kuanza kuuteremka huo Mlima!
Aendelee na Biashara zake za Perfume na Karanga, Maisha hayana Formula
Jamaa yuko vzr mbaya kuliko recent katoa I miss you na fire zitafute utz unatusumbua sana ndio maana tunajitoa ufahamu kutoona mafanikio yakeMm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutoshaKuna kupanda na kushuka katika mafanikio...kungekuwa Ni kupanda tu Basi maisha yangeboa.
Naseeb kilichomfikisha pale Ni hard work.Na wanasema hard work beats talent any day.
Tofauti na wasanii wengine naamini Naseeb hatakata tamaa.Akaze buti asonge mbele.[emoji123]