Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Jamaa yuko vzr mbaya kuliko recent katoa I miss you na fire zitafute utz unatusumbua sana ndio maana tunajitoa ufahamu kutoona mafanikio yake
 
Kuna kupanda na kushuka katika mafanikio...kungekuwa Ni kupanda tu Basi maisha yangeboa.
Naseeb kilichomfikisha pale Ni hard work.Na wanasema hard work beats talent any day.
Tofauti na wasanii wengine naamini Naseeb hatakata tamaa.Akaze buti asonge mbele.[emoji123]
 
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
 
Back
Top Bottom