Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Some time kiba anatumia akili sana kumantain maana anatengeza mazingira ya watu kummisi afu akija kuachia mashine inakuwa mtafutano
Na domo inabidi afanye ivo afu apunguze kutoa nyimbo kwa mazoea
Hii sio formula pekee, kuna watu walikaa kimya na walivyorudi hakukuwa na kilichobadilika.

Pia msanii anahitaji hela za shows, ambazo kibongo bongo nafikiri wasanii wengi wanapigia hela hapa, sasa akae kimya hizo hela aziache zipotee tu? Wakati lifespan kwenye game ni ndogo.
 
Dear Ariana hapo kwa laizer naungana na wewe, hivi huyu Laizer before WCB alikuwa wapi? Ujue wanawest hawaimbi chochote cha maana bali beats zinawabeba sana.

Hapo kwenye kupost nadhani hakuna formula moja since mashabiki wengine wanataka kila saa msanii wao apost wengine hawataki mapost mengi, hivi kuna msanii anapost kama breezy? Yule ukirefresh page yake kila muda unaeza kukutana na post mpya kibao na bado hapotezi followers, lakini hata asiyependa akaamua kuunfollow ndio ataacha kuwa shabiki wa Diamond? Hawatacheza nyimbo zake? Wakizipenda hawatanunua? Kwenye show hawataenda? YouTube je? Tufikirie sawasawa kama kupost sana ni tatizo kubwa kiasi hicho, labda ningeomba aache kupost minor issues sijui birthday za kina nani, napo ajiandae kuambiwa anaringa maana kudeal na waTz ni kipaji kingine.
 
Madai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.
maana tumeshachoka na drama zao kama rob na chyna

Zari sidhani kama ni tatizo kiasi hicho unless tumeamua tu kumtupia lawama.
 
machozi ya Qboy msafi hayatamuacha salama hata kidogo. unapofanikiwa ukaanza kuwatenga walokusaidia na kushikamana na waliokudandia kwenye mafanikio (kina salamu) kuna kalaana fulani hivi katakusumbua tu.
Nayo ni fact au hisi?
 
Pale shughuli ndio imeisha analazimisha watu waendelee kumsikia kwa kutoa nyimbo kila wiki.
Mtanii upo?? Kuna kipindi Teckno alikuwa anatoa wimbo kila mwezi karibia naye alikuwa analazimisha kusikika? Huko west kwa siku zinaachiwa nyimbo karibia 10 sasa wewe kaa na kijimbo chako kimoja kwa miaka miwili uone shughuli yake.
 
Davido hakuwa kimya ila alikuwa anatoa nyimbo zinabuma sababu ya mkataba wake na Sony walishindwa kufanya timing na promotion nzuri alivojitoa ndio akarudi kwenye game

Sent from my E6533 using JamiiForums mobile app
 
Leo Diamond amekuwa wa kukopy kazi za watu anatakiwa kupumzika

Sent from my itel it1403+ using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu ni nini? Ame play part yake na kaitendea vizuri. Haja choka. Tumpe hongera yake.

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Bado tunamuhitaji mashabiki zake

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
mimi laiza kilio changu[emoji16]

TECNO-C5 Wereva
 
Niliwah Kuandika Kuwa Diamond Co Mwandish Mzr, Kwan Ili Uweze Kua Nguli Lazma Uwe Unaandika Au Unanunua Km Huwezi. Mzk Ni Km Movi Watu Wanataka Stori. Watu Wakanijia Juu Kuwa Hata Akiimba Mabata Madogodogo Ata Hit Tu. Mwanamzk Wa Kweli Anaish Kwa Kutegemea Tungo Co Pruducers. Mwangalie Mr.Blue, FA, FdQ, Jide, Profesa Jay, Ulamaa, Sugu Nk, Wanaweza Fanya Lolote Wkt Wowote Kwan Wapo Njema Kichwani. Haya Mambo Ya Kina Mr Nice Na Dudubaya, Co Mzk Asilani. Hata Congo, Mzk Wa Franco Una Thaman Kuliko Wa Bongoman Mpaka Sasa Kwa Sababu Ya Uwandish. Ss Hv Unatoa Ngoma Moja Mwaka Mzma Na Kiki Kibao. Upuuzi Mtupu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mabata madogo madogo yaan nimecheka Kwa sauti wallah loh

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Chuki binafsi hizo, mbn nyimbo zote bado kali

Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
 
Ukishaamua kuwa mpiga debe wa chama cha siasa ujue mashabiki wa vyama pinzani watakuunganisha na chama unachokiunga mkono.
 
Ndo maaana kuna mwanzo na mwisho,jamaa katoa ngoma2 dable zote chalii hahhahaaaaaaaa.....

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
Music industry imekuwa kubwa siku hizi wakali wamekuwa wengi radha imeongezeka.. mziki umechange tofauti na zamani unaweza toa mbagala usipate hit nyingine ya kuifunika.. tofauti na sasa na speed ya diamond ya ngoma juu ya ngoma ndio inayotakiwa..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…