binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Aliambiwa anyamaze kwa muda ili watu wam miss.Akanyamaza akaja kutoa fire.Hamna hata response kubwaa.
Inaumiza.Mwenyewe fire hata sijaipenda.
Labda akitulia for a year labda...na Diamond hataweza.Saivi kiba akitoa hit song lazimaaa itapata response kubwa.
Hii sio formula pekee, kuna watu walikaa kimya na walivyorudi hakukuwa na kilichobadilika.Some time kiba anatumia akili sana kumantain maana anatengeza mazingira ya watu kummisi afu akija kuachia mashine inakuwa mtafutano
Na domo inabidi afanye ivo afu apunguze kutoa nyimbo kwa mazoea
Pia msanii anahitaji hela za shows, ambazo kibongo bongo nafikiri wasanii wengi wanapigia hela hapa, sasa akae kimya hizo hela aziache zipotee tu? Wakati lifespan kwenye game ni ndogo.