Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

je ally k, akae mingapi?

dully akae mingap?

wa mitego akae mingap?

fafanua kotekote [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Some time kiba anatumia akili sana kumantain maana anatengeza mazingira ya watu kummisi afu akija kuachia mashine inakuwa mtafutano
Na domo inabidi afanye ivo afu apunguze kutoa nyimbo kwa mazoea
Kina drake kila siku waachia mashine nawako juu we unasema mashabiki wakumiss utakuwa huna akili

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huyu b shost cjawah kumuelewa kabsaa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mtanii upo?? Kuna kipindi Teckno alikuwa anatoa wimbo kila mwezi karibia naye alikuwa analazimisha kusikika? Huko west kwa siku zinaachiwa nyimbo karibia 10 sasa wewe kaa na kijimbo chako kimoja kwa miaka miwili uone shughuli yake.
Wale wanafanya muziki wa Albam mpaka Leo....Akikaa kimya mwaka mzima akirudi akirudi na ngoma 15 za kwenye Albam huyu hata akiachia ngoma kila wiki sio tatizo hapo anakuwa Anaifanyia promo Albam watu wakanunue labda uniambie na bwana Nasibu nae anataka kutoa Albam mpya
 
Hakuna msanii atakayedumu milele kwny game miaka yote...jamaa anafaham ilo ndomana anawekeza ktk vitu vingine km ktk Nyumba za kupangisha,karanga,perfume,studio ya muziki pamoja na kumiliki wasanii wengine.itafikia hatua atapotea kimziki km inavyowezekana kwa msanii mwingine yeyote yule lakini kupotea kiuchumi ni vigumu mno. Na hiyo ndo inamtofautisha na wengine

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
hawa wakenya nnavowafaham hawachelewi kusema Vee Money ni Mkenya...ila mond kwakua kiingereza ni shida basi wanaeza sema Ni Mkenya aliekulia Tanzania


[HASHTAG]#nawachukiaa[/HASHTAG]
 
Hao uliowataja kuna hata mmoja amekaribia mafanikio ya Diamond kwenye mziki?

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Huo wimbo ni mkali kuliko zile mbili nyingine

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Chris brown ana album gani anaitangaza asa iv maana naona anaachia wimbo kila baada ya week

Afu kitu kingne kutoa album lazima upige karibia nyimbo zote za kwny album....huwezi achia nyimbo ata mbili tu za kuitambulisha album kama kwl unajiamin kuwa album yako ni kali, kuna ulazima gani wa kupiga almost 1/2 ya nyimbo zilizomo kwny album

Nahitaji kueleweshwa na ww mtalamu wa mziki.....

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hao uliowataja kuna hata mmoja amekaribia mafanikio ya Diamond kwenye mziki?

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Hivi ngoma za domo za kitambo s zilikuwa na tungo tukufu kabisa...

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…