Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #761
You can fool some people for sometime but...................
Leo mkito.com tunavunja rekodi kiulainiiiii
Ulisema hauta kuja kwenye hii thread naona taratibuuu unaanza kuja mwenyewe na mwisho wa siku uta ruka na kucheza ngoma za diamond karibu sana.
Wakioana naukana uraia wa Tanzania
Ana maneno ya kiswazi huyu si wameachana apige kimya maneno kaa muimba taarabu
Ndo ivyo tenaHawa watu wanapendana sana ndo mana wamebaki kila mmoja anaongea lake. Hamna kitu kigumu kuachana na mtu ambae bado unampenda. Wakae chini wamalize tofauti zao na waachane na mambo ya kuendekeza mashabiki. Wangekuwa wana akili wangetumia umaarufu wao kutengeneza pesa ndefu
Na clouds kasikiliza pia wakati ngoma ikiachiwa for the first time hapa bongo
Mmh project inaendelea sio