Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

You can fool some people for sometime but...................

Ulisema hauta kuja kwenye hii thread naona taratibuuu unaanza kuja mwenyewe na mwisho wa siku uta ruka na kucheza ngoma za diamond karibu sana.
 
Ana maneno ya kiswazi huyu si wameachana apige kimya maneno kaa muimba taarabu
 
Ulisema hauta kuja kwenye hii thread naona taratibuuu unaanza kuja mwenyewe na mwisho wa siku uta ruka na kucheza ngoma za diamond karibu sana.

Na clouds kasikiliza pia wakati ngoma ikiachiwa for the first time hapa bongo
 
Hawa watu wanapendana sana ndo mana wamebaki kila mmoja anaongea lake. Hamna kitu kigumu kuachana na mtu ambae bado unampenda. Wakae chini wamalize tofauti zao na waachane na mambo ya kuendekeza mashabiki. Wangekuwa wana akili wangetumia umaarufu wao kutengeneza pesa ndefu
Ndo ivyo tena
hawaishi maskendo
 
Jisongi ndo lapigwa clouds.....yalaaaaaaa
 
Kama heading inavyoonekana ma celeb hao kuvishana Pete ya uchumba mwezi ujao. Kwa maelezo zaidi ingia
www.the choice tz.com
 

Attachments

  • 1416475727442.jpg
    1416475727442.jpg
    66.9 KB · Views: 681
Picha zaidi😅😅 tu ache LE PROJECTO liendelee......👏👏👏👏
 

Attachments

  • 1416475783447.jpg
    1416475783447.jpg
    51.2 KB · Views: 588
  • 1416475801753.jpg
    1416475801753.jpg
    63.9 KB · Views: 558
  • 1416475827029.jpg
    1416475827029.jpg
    80.7 KB · Views: 542
all the best maana si kuna ile special thread yake si habari zote mueke huko jamani
 
Back
Top Bottom