Kwani wakikaa kimya watapungukiwa nini
Kuzungumziwaaaa
Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.
Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.
Ingia mkito ununue,au korosho hujauza?Aaah safi sana.....ukipata audio ya hiyo ngoma tuwekee hapa.
ni dhambi kubwa sana kumcompare ali k na huyu jamaa,ali k ni msanii mzuri kweli ila kwa huyu jamaa atasubiri sana,na amshukuru diamond bcoz ndo kampa publicity tena but kama kumfikia huyu mtu inabidi ajipange sana sio kwa maneno tu.kizuri ni kizuri lakini bora ni bora zaidi.habari mnayo.
Wewe ndoa sio kama kuchukua fomu za umiss na kushiriki.Hapo Wema anajiona still young but 3 yrs utakuta kaolewa na babu like 40's hivi coz vijana wenzake wataona kachuja.Diamond yeye ataoa demu wa miaka 23 hivi coz hiyo ndio formula ya life.Nasema tena hawa watu ndio wataoana siku moja mtanambia.
Manina hilo video duuh! Ukitaka kufaidi icheki kwa hd ni noma sana...Adam Juma amsaidie jamaa basi atoe kavideo kake atleast shabiki maandazi wake wapate cha kuongea manake kila kona sahivi ni #diamond
Watu oyooooo baba akiingia watoto wanaenda kuongelea chumbani
hahaaaaah leo story ni diamond tu,
lazma wajue kutofautisha msalaba na jumlisha
Ingia mkito ununue,au korosho hujauza?
Wasanii wa bongo wanaangushwa na watu kama nyie,mnamsifia tu,kazi hamnunui?
Support our artists!! Ukijiunga unapewa ngoma kumi bure
jamaa kiukweli nilikuwa simkubali hata kidogo ila baada ya kusikia hii ngoma i can say he has won me over
Na clouds kasikiliza pia wakati ngoma ikiachiwa for the first time hapa bongo
diamond uwezo wake mdogo wa kutunga mashairi
watamkubali tu dimond nomah!
"baaado ananijia ndotoni ..ahaa! kila ....
Hawajui af hawajui kama hawajui ila time hii watajua