Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Napenda sana nyimbo zake ila nitafurahi akianza kupiga live show na kuachana na show za kutumia CD

hizi ndio criticism zinazotakiwa kwani zinajenga....hata mimi napenda nyimbo zake sana ila siwezi kwenda kwenye concert zake anazoimba playback style.... heaven on desert fikisha ujumbe
 
Last edited by a moderator:
Maaafi kunuka. Mwanaume unaanzaje kuwa obsessed na mwanaume mwenzako kiasi hiki, kwa wanawake ninaelewa.
 
Akifanyia kazi ushauri huu atafika mbali zaidi na kuweza kujitofautisha na wasanii wengine!
 
uzi umebuma hadi aibu kiba hatumii uganga kupanda chat ni sauti aliobarikiwa dadamond muda si mrefu utakufa kifo cha mende unaanza kuzinguana na akina mama huruma kina wema shauri yako

nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga
ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue
kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha mtaa wa saba
wamepanic!!!
 
nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga
ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue
kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha mtaa wa saba
wamepanic!!!

alonifanya silalii, jua kaliii nitafute tukalee..... lakini hata hakujalii..... darling... akatekwa na waleee.....

hapana chezea aisee nishaimeza, ngoma iko poa sana fanya kuchomeka earphone usikilizie vitu lol hatariiiiii
 
Wana jifanya wana ponda kumbe wanaumia wana imba kimya kimya jirani wana shida sana.
 
Wana jifanya wana ponda kumbe wanaumia wana imba kimya kimya jirani wana shida sana.

aii nyotaaa.... nyota ndo tatizo languu...
ai nyotaaa... mpaka nalia pekeangu....
ai nyotaaa.... nyota ndo shida yaanguuuu.....
nyotaaaaaa..... umenizidi uwezo wanguu.....
 
Bado anajia ndoto Badaooooooooooo,

ananifanya nimuote badoooo

haki ya Mungu sio Rahisi
 
kwenye CELEBRITY FORUM main page ina THREADS ZA DIAMOND 16!!!!! Huwezi kuwa nobody ukapata threads 16 kwenye page moja...DIAMOND TANZANIA HII NI ZAIDI YA MWANAMUZIKI NI BRAND...........HATA KAMA HUMKUBALI HUO NDIO UKWELI

Asante sana Mkuu najua wamekusoma kimya kimya na wameelewa.
 
huu wimbo kuna sehemu beat,tune na melody zinaendana na wimbo wa Shetta kerewa,na pia inafanana na baadhi ya nyimbo zake alizotoa.Wimbo wa kawaida sana
 
hahaaaaaaa utakuwa kawaida tbc bt mtv,trace,channel o,bet ni ngoma kali si ndo walewale watanzania ambao huwa hamsapoti nyimbo za ambwene bt mbele zinagongwa kama kawa
 
Wema mal.aya tu, hana lolote, you Domo ndio umemdekeza, piga chini, vaa uhalisia wa uanaume...piga chini vuta kifaa kingine, na nikufunze kitu kikubwa kwa hawa wanawake, never..never..never invest sanaa kabla hujamuoa, mnunulie ice cream, chupi, high hill, juice, chips na lift ya gari, baaaaaasiiiii...hutakuwa na pain na mapreshaaa, na yooooteeee, wanaume makini hatuonyeshi tumemzimiaaaa demu hata kama umempenda kufa, onyesha uko unampenda, ila c sanaaa....haya tafuta papuchi nyingine ziko kibaoo hapa mjini...wema ana wateja wengi anauza sana...!!"
 
Diamond akitoa wimbo kama kawaida mara ya kwanza unaposikika unaonekana kama hovyo,subiri mda kama wiki mbili utashangaa ndo unaanza kuvuma
 
Diamond akitoa wimbo kama kawaida mara ya kwanza unaposikika unaonekana kama hovyo,subiri mda kama wiki mbili utashangaa ndo unaanza kuvuma

Uzuri wa wimbo huja na muda pia.. ukipigwa pgwa radio, club etc watu wanaweza wakaupenda
 
Diamond akitoa wimbo kama kawaida mara ya kwanza unaposikika unaonekana kama hovyo,subiri mda kama wiki mbili utashangaa ndo unaanza kuvuma

kama mdogo mdogo ulivyotoka mimi sikuusoma kabisa, heee!!! baadaya muda kidogo nikajikuta ninadata nao
 
sasa kama mondi anashuka nani anapanda??? na kutoa wimbo wa kawaida ndio kushuka?? wewe kama humkubali hulazimishwi pita hiviii bwana acha kupotosha
 
Wenye wivu mfe tu jaman naona pumzi ndogo, ,Daimond Shikamooooo
Dinazarde embu watangazie, wale waliokuwa wanasubiri lift ya kubebewa kavideo kao ka mwanadareslam ndio wawahi kituoni, gari la platnumz ndio limetoka, wasije tena wakazubaa wakapitwa wakaanza oooh!! jamaa mchoyo, wachangamkie fursa hii.
 
Last edited by a moderator:
huu wimbo kuna sehemu beat,tune na melody zinaendana na wimbo wa Shetta kerewa,na pia inafanana na baadhi ya nyimbo zake alizotoa.Wimbo wa kawaida sana

kumbe ume usikiliza eeh? asante kwa kua kundini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…