King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tubaki huku tu tunawaumiza mnoo maana wamesubiru video ya mwana mpaka wanaumwaaaa duuuu ni sawa na kuishabikia arsenal lazima uumweeee
Kuna yule mpiga picha wa diamond alikua humu jf sijui yuko wapi now days, kama sikosei anaitwa heaven on desert
Kwa ninii
Wimbo ni mbaya kashuka kiwango
diamond amenikera sana....... najuta kumaliza MB zangu kudownload huo wimbo
Kwa mwanadaresalama ndio kakutuma useme hivi? kamwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshinda ibilisi kwa mwanaderesalama sio rahisi.......
sasa kama mondi anashuka nani anapanda??? na kutoa wimbo wa kawaida ndio kushuka?? wewe kama humkubali hulazimishwi pita hiviii bwana acha kupotosha
Anapatikana mbuga ya Serengeti national park
Kwaio kama wimbo ni wakawaida ndio useme domo kashuka???? Wew umetoa wimbo upi????
Wewe ndo uendelee kujidanganya huyo ndo diamond bana....
Messi kukosa penati haimaanishi kashuka kiwango. Tuendelee kumsapoti tu.
Kavideo kao bana kamepotelea hewaniii watasema kameibiwaaa,namuombea atoe video nzuri akitia mbayaaa,,na hivi hua na ushabiki maandazii watanunajeeee
Mi nilidhani kaachana na mafikra ya kizamani kupata kick- kumbe "amanzi ga nyanza!!"
Why does not he want to be at international level... I like Davido....the kick he has is his job well done...
Haya maproject ni balaa...
Yaani ni kweli sijavutiwa sana na huu wimbo naona wimbo wote ni madongo kwa wema na ali kiba hauna fundisho lolote halafu kuact na wazungu wala sijaelewa mbona waafrica ni wazuri sana huu ndio ukweli sio kumchukia wala nini Nyi esijui timu domo pokeeni maoni ya watu pia msitake kusifiwa
Hapana chezea watu wanamahaba yao ya dhati