Una undugu na diamond
Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.
Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.
all the best maana si kuna ile special thread yake si habari zote mueke huko jamani
service kwani na wewe ni wale wa mahaba niue...
Una undugu na diamond
Majirani wa Mcharo hao, utawaweza!!!Diamond ni msanii mwenzangu, kwani vipi?
Msamehe bure
Diamond ni msanii mwenzangu, kwani vipi?
kila nnavozidi kuicheki hii nyimbo ndo nazidi kuipenda, nzuri sanaaaaaaa
kama mimi.......hapa naendelea kuisikiliza madogo mdogo
Wimbo ni mbaya kashuka kiwango
Hayo ni mawazo yako, unaruhusiwa ku comment chochote ilimradi hauvunji sheria, So long as it is free country since 1961( in lara1's voice)
huyu dada kwa hii vdeo ya chibu kaigiza vzuri sana aisee
Asante kwa kuliona hilo, ameuvaaa uhalisia!
kwa wale wasiojua pesa hutengenezwa na pesa