Dah... aisee we unajua vitu vizuri...kila nnavozidi kuicheki hii nyimbo ndo nazidi kuipenda, nzuri sanaaaaaaa
nime iangalia zaidi ya mara kumi aisee bado sijaona kasoro halafu wanavyo cheza chalanga sijui looh kawamaliza kabisaaa
Dah... aisee we unajua vitu vizuri...
Duh... ushanitamanisha, ngoja niiangalie tena!Mie nimeidownload kabisa iyo video najisikia kuiangalia tu muda wote lol
Duh... ushanitamanisha, ngoja niiangalie tena!
Aaaaah! Hizi sasa kweli sifa... Yaani mara hii tayari kuna views +183,000/-?
Hahaaaaah! Angalia tena na tena na tena na tena,
Jana night nimeiangalia sana hadi nikamuota chibu, aisee hatari sanaa
Dah... haya mambo bhana... kama nawaona hivi wapwa; wanacheki kushoto, kisha kulia, wakiona tumejisahau na stori hapa, shaaa, haooo kwenda kuiangalia Nitampata Wapi; wakimaliza, wanarudi hapa wanajikausha, kimyaaaa... ka' sio wao... utafikiri hawajaiona vile! Wanajichekesha chekesha hapa kumbe wanatulia timing, wakiona tuko bize tu, mara tena shaaaa! Kama nawaona hivi wakipangusa midomo ili tusiwashtukie kwamba wameiba nyama!!!Hatariiiiiiiiiiii
Aaaaah! Hizi sasa kweli sifa... Yaani mara hii tayari kuna views +183,000/-?
hahaha,dangote bhana ukmchukia ww bac demu wako au mwanao wanampenda
Dah... haya mambo bhana... kama nawaona hivi wapwa; wanacheki kushoto, kisha kulia, wakiona tumejisahau na stori hapa, shaaa, haooo kwenda kuiangalia Nitampata Wapi; wakimaliza, wanarudi hapa wanajikausha, kimyaaaa... ka' sio wao... utafikiri hawajaiona vile! Wanajichekesha chekesha hapa kumbe wanatulia timing, wakiona tuko bize tu, mara tena shaaaa! Kama nawaona hivi wakipangusa midomo ili tusiwashtukie kwamba wameiba nyama!!!

bwah! bwah! bwah! bwah! kutompenda Chibu ni kujitafutia stress bila sababu....matokei yake, stress + stress atadhani ni stress msalaba stress kumbe ni stress jumlisha stress = ugonjwa wa moyo!kuna huyo braza angu hampend et akasema nymbo ya kawaida but kla muda anajsahau km aliuponda na kuanza kuimba hasa pale h ndo saut ya rais ilomshnda mpaka ibils na ujue kutofautsha kat ya msalaba na jumlsha,kat ya x na kuzdsha
Tell me 'its just a joke'..
Wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii