Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hatariiiiiiiiiiii
Dah... haya mambo bhana... kama nawaona hivi wapwa; wanacheki kushoto, kisha kulia, wakiona tumejisahau na stori hapa, shaaa, haooo kwenda kuiangalia Nitampata Wapi; wakimaliza, wanarudi hapa wanajikausha, kimyaaaa... ka' sio wao... utafikiri hawajaiona vile! Wanajichekesha chekesha hapa kumbe wanatulia timing, wakiona tuko bize tu, mara tena shaaaa! Kama nawaona hivi wakipangusa midomo ili tusiwashtukie kwamba wameiba nyama!!!
 
kuna huyo braza angu hampend et akasema nymbo ya kawaida but kla muda anajsahau km aliuponda na kuanza kuimba hasa pale h ndo saut ya rais ilomshnda mpaka ibils na ujue kutofautsha kat ya msalaba na jumlsha,kat ya x na kuzdsha
 
Nilikaa na jamaa nikiwa naicheki video si akaanza kuponda, kukaa kidogo akajisahau akaanza kuimba akiufuatisha wimbo aisee nilichekaaaa
 
kuna huyo braza angu hampend et akasema nymbo ya kawaida but kla muda anajsahau km aliuponda na kuanza kuimba hasa pale h ndo saut ya rais ilomshnda mpaka ibils na ujue kutofautsha kat ya msalaba na jumlsha,kat ya x na kuzdsha
bwah! bwah! bwah! bwah! kutompenda Chibu ni kujitafutia stress bila sababu....matokei yake, stress + stress atadhani ni stress msalaba stress kumbe ni stress jumlisha stress = ugonjwa wa moyo!
 
Namkubali sana huyu dogo,ila staki kuamini kwamba hii nyimbo eti ndo OFFICIAL TRACK baada ya my number one. Mi siamini hivo manake ni mbovu mbovu mbovu kweli kweli. The song is too local. Labda kama ndo anavuta pumzi kama alivofanya kwenye nataka kulewa ndo akarelease my number one. Afu kiukweli bado gape ya MANECK kama produzer inaonekana. Huyu wa burn record kaifanya hii ngoma inikumbushe enzi hizooo za metro studio. Ila yule bint.....MASHALLAAAH.
 
Back
Top Bottom