zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Diamondi kamaliza mchezo, waliosema Mond anasafiri na nyota ya Wema wamenoa Sasa anasafiri na ya Zari, baada ya hapo atatafuta mrembo wa Kenya atamalizia wa Rwanda ndio anarudi Tz kuoa miss tz wa 2016
Hawana hawana LA kusema hawana...
Anaunguruma unguruma LA kusema hawana....
Hawamuwezi ndo mana wanamsemaaa
Hawamuwezi ndo maana wanamchukiaaaa
Na badooooo....wakaoge wasugue na makwapa.....
Inasikitisha sana mtaa wa pili wanapokosa cha kujadili et now wanajadili ndondo cup
Inasikitisha sana mtaa wa pili wanapokosa cha kujadili et now wanajadili ndondo cup
Nimewaone huruma kabisa
Huyo dadaake kweli ?
Mbona ana mdomo mdogo?
hahahhaa shidaWanatapapa
Wa Fiesta mbona mbali... jirani tu hapo... leo watu wameenda church bila kutaka.Waliozomea fiesta wameumbuka vibaya sana huko waliko lazima waisome number kimya kimya
Wa Fiesta mbona mbali... jirani tu hapo... leo watu wameenda church bila kutaka.
Mtaa wa pili hawalali ngoja nikajipitishe nione kama kunajipya.
Wanaenda na matukio ya Dai ...eti wanampa ushairi aachane na zari aseee mtaa wa pili wana matatizo
Wa Fiesta mbona mbali... jirani tu hapo... leo watu wameenda church bila kutaka.
Am back guys na le tamkoz....
Domo kaiba tuzo za watu jamani.tuzo ya afropop ni ya "mwana" ile ya east Africa ni ya "kimasomaso"
Na ile ya "new comer" ni ya "naksi nakshi"
Kwa niaba ya wafuta vumbi na matisheti ya "the return of the king" tunamtaka azirudishe kabla hatujakodiwa tena kwenda kumzomea pale eapoti hata kama kalitangaza taifa..
Natoa kompilimentari ya bando la buku kwa atakaefika eapoti na mabango ili tumzomee mwizi wa tuzo za davido,iyanya na mafikizolo.
Hahahahaha kuna watu wanatamani kutuma hizi meseji za hivi ila hata wao karoho ndani kwa ndani kanakataaaaa.....
Hahahahaa kama nawaona vile.
Le wafuta vumbi's tamkoz