Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
mambo kama haya ndo yanafanya mtaa wa saba ujae husda na chuki hahaha
Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert) - YouTube
Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert) - YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaamu zangu za kwanza aah zende kwa mola na mama,
Za pili...................
watoto hao wana shindana kujaza page kwenye sred.
mambo kama haya ndo yanafanya mtaa wa saba ujae husda na chuki hahaha
Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert) - YouTube
unajua nn sisi hatuwezi shindana nao hayo mashindano ya kipuuzi, tufanye yetu maana wangekuwa sane hata kidogo wagendua kuwa dimond ndo anayejaza jukwaa hili sio thread...almost thread zote za jukwaa hili zinamuhusisha dai sasa ya nn tuzungumzie thread
mambo kama haya ndo yanafanya mtaa wa saba ujae husda na chuki hahaha
Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert) - YouTube
Hapo umenena Mkuu!Kwa sasa Diamond ametumia fursa,kafanikiwa kweli kweli....ana marketing strategies nzuri!Hongera kwa hilo but sidhani kama ana nyimbo iliyotamba kama ya MB Dog (Latifa) au Vaileth ya Matonya kwa kipindi kile even Cinderalla ya Ally kiba.....labda uwe na chuki binafsi na DIAMOND.......lakini kwa sasa hivi huwezi kumfananisha na muimba bongo flavar yoyote hapa bongo.....hit after hit kila leo na bado,niliwahi kumsikia akisema ana nyimbo kibao maktaba hajazitoa....sasa huyo wanaejaribu kumfananisha nae kakaa miaka mingapi hata kutoa single moja hawezi kaja na wimbo so average inabidi watu wampigie promo asipotee tena.
labda uwe na chuki binafsi na DIAMOND.......lakini kwa sasa hivi huwezi kumfananisha na muimba bongo flavar yoyote hapa bongo.....hit after hit kila leo na bado,niliwahi kumsikia akisema ana nyimbo kibao maktaba hajazitoa....sasa huyo wanaejaribu kumfananisha nae kakaa miaka mingapi hata kutoa single moja hawezi kaja na wimbo so average inabidi watu wampigie promo asipotee tena.
ha ha ha Shida sana,
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri anadeal la kupiga show Rwanda Mwisho wa Mwaka huu,,
Namuombea Mema sana Kijana wetu,
labda uwe na chuki binafsi na DIAMOND.......lakini kwa sasa hivi huwezi kumfananisha na muimba bongo flavar yoyote hapa bongo.....hit after hit kila leo na bado,niliwahi kumsikia akisema ana nyimbo kibao maktaba hajazitoa....sasa huyo wanaejaribu kumfananisha nae kakaa miaka mingapi hata kutoa single moja hawezi kaja na wimbo so average inabidi watu wampigie promo asipotee tena.
eti ali kiba anajaza thread pages 70......DIAMOND anajaza hit after hit na bank account!
Hapo umenena Mkuu!Kwa sasa Diamond ametumia fursa,kafanikiwa kweli kweli....ana marketing strategies nzuri!Hongera kwa hilo but sidhani kama ana nyimbo iliyotamba kama ya MB Dog (Latifa) au Vaileth ya Matonya kwa kipindi kile even Cinderalla ya Ally kiba.....
Ushaur wangu asimuache WEMA SEPETU coz ana play part kubwa sana ktk marketing ya Dogo.......
Mkuu rudi kule kwako kwa VAN GAAL .....huku naona unapwaya sana!ha ha ha ha!natania tu
Hapo kwenye red hapo totally false comparison....
angalia hii list hapa chini then niambie ngoma gani hapo utaifananisha na hizo za hapo juu!!
1.kamwambie
2.mbagala
3.nitarejea
3.nimpende nani
4.moyo wangu
5.kizaizai
6.ukimwona
7.nataka kulewa
8.nataka "kesho"nikupeleke kwa mama
9.number 1.
10.kitorondo
chagua mwenyewe truck 1 kati ya hizo hits then upambanishe na nyimbo zote ulizo zitaja hapo juu uone kitakacho tokea.
cd yenye collection naweza kununua hata kwa 50,000/-..........hivi kwani hawatengenezi kitu kama 'DIAMOND TOP 10 HITS' AUDIO/VIDEO CD COLLECTION??? Mpaka tunaenda kuburn vibandani?!
Hapa ndipo tunapo sema wasanii wana takiwa wawe wabunifu,sasa truck kali kama hizo unaziacha zina elea tu daah si hasara hiyo?
Hapo ktk library ya wimbo ngoja nijaribu kuwa msemaji wake hahaha.
1.kuna ngoma na mafikizolo
2.ngoma na dbanj
3.ngoma na waje
4.tray songs
5.wengine ntaendelea baadae,na Hawa wote ni watu maarufu afrika na duniani hahahahaha.....
Ukiona mpaka rais anakuita anakuuliza kijana unataka usaidiwe vipii bhasi ujue kazi yako si ya kitoto......tutaendela kudanganyana ooooh sauti nzuri oooh Kipaji,sauti nzuri my foot,work hard so ur hard work will determine ur collections....
Sasa kollabo mtu ufanye na abdu nani sijui afu mwenzako anaachia kitu na mafikizolo utampata lini??????????????
Na mafikizollo kashilikishwa
Na waje kashilikishwa pia
Alafu waje ni sawa na shilole tu
Iyo ya trey songz uzushi wako 😂😂😂😂
Dbanji creativ stry kama ile ya kutunukiwa shaada
Acheni ushabiki Wa kipumbavu tujalibu kupnda vya kwetu
Keep it up Mond kwa mziki mzur
👍👍mavoko ,dimpoz,vee money
👎👎👎kiba,ay ,PhD hemed etc
👆👆atakae reply ujinga ana tofauti na Sera za kimarekani