Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Topic: Diamond kuchimba visima na kujenga
madawati shule za Tandale

By mr gentleman

Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya
Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa
umefanya nini kusaidia jamii.

Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi
yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa hivi
karibuni ametoka kwenye shule za Tandale
kuuliza wanahitaji nini anachoweza kusaidia. Ndio
akaona ishu ya msingi kwa sasa ni maji hivyo
atachimba visima na kuwajengea madawati
kupunguza watoto kukaa chini walau wakae level
seat .
 
Topic: Diamond kuchimba visima na kujenga
madawati shule za Tandale

By mr gentleman

Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya
Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa
umefanya nini kusaidia jamii.

Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi
yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa hivi
karibuni ametoka kwenye shule za Tandale
kuuliza wanahitaji nini anachoweza kusaidia. Ndio
akaona ishu ya msingi kwa sasa ni maji hivyo
atachimba visima na kuwajengea madawati
kupunguza watoto kukaa chini walau wakae level
seat .

In Shaa Allah MUNGu amsimamie
 
Topic: Nasibu Abdul alishafanya vibarua ili apate
fedha ya chakula.

Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au
maarufu kwa jina la Diamond akipozi.
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina
la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni
ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana
iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Wazazi wake walimpa jina la Nasibu
wakiamini ni la bahati.

Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya
Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo
mengi ya maisha yake. Diamond akiwa
hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi
wake walitengana kwa sababu ambazo bado
hazijawa wazi na baba yake kumuacha na
mama.

WAZAZI WATENGANA, DIAMOND AENDA
KWA BIBI

Kufuatia hali hiyo, ilibidi mama yake ahamie
kwa mama yake mzazi (bibi wa Diamond),
Tandale Magharibi, Dar. Hapo ndipo yakawa
makazi ya mama huyo na mwanaye.
Mnamo mwaka 1995, Diamond alianza elimu
ya awali katika Shule ya Chakula Bora iliyopo
Tandale- Uzuri. Mwaka 1996 alianza elimu ya
msingi katika Shule ya Msingi Tandale-
Magharibi iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mwaka 2000, Diamond akiwa darasa la tano
alianza kupenda muziki, hivyo akawa anakopi
baadhi ya nyimbo za wasanii waliokuwa
wakihiti ndani na nje ya Bongo na kuimba
yeye katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es
Salaam. Kwa kuliona hilo, mama yake alianza
kumnunulia kanda za albamu za wasanii
tofauti hata kumwandikia baadhi ya nyimbo
za wasanii hao ili mwanae aweze kuzishika na
kuimba kirahisi.

Diamond alizidi kuupenda muziki ikabidi
mama yake awe anampeleka kwenye
matamasha mbalimbali ili mwanae apate
nafasi ya kuimba.

Baadhi ya ndugu walimjia juu mama huyo
wakidai anamharibu mtoto badala ya
kumuhimiza masomo anamwingiza kwenye
muziki ambao walidhani haukuwa na faida
yoyote.

***Real Nigger get money from the fu.ckin start***
 
Topic: Diamond amfunika Kiba kwenye video
views you tube !


Ikiwa ni miez minne tangu ALLY KIBA atoe video
yake ya Mwana Dar es salaam huku mpaka
naandika uzi huu ikiwa na views 144,776 (Upload
Months ago)
mwenzake DIAMOND siku tatu
zilizopita aliachia video ya "Nitampata wapi?"
ambayo mpaka naandika thread hii ilikuwa na
Views 388,28 (Upload 3 days a go), Huku
mdogomdogo ambayo iliambata na wimbo wa
Mwana kutoka ikiwa na views 1,832,729 (upload
5 months a go).……!!!!
…………………………………………………………
Nyimbo ambayo inaongoza kwa ALLY KIBA kwa
kuwa na views wengi ni "Usiniseme" yenye views
1,642,801 (upload 5 years ago),

Nyimbo ya DIAMOND inayoongoza kwa views
wengi ni "NUMBER ONE REMIX" yenye views
5,052,345 (upload 11 months ago) huku ikifuatiwa
na "Number one original" yenye views 3,345,762
(upload 14 months ago)

Kwa takwimu hizi chache inaonyesha watu wengi
wanaposikia chibu kaachia ngona huwa
wanashaukhu ya kutaka kuiyona kwa mapema
tofaut na Ally Kiba.

********

Hapo kwenye red sina uhakika na chanzo kamili cha mtoa mada,but hata video ikitoka haiwezi kuvunja rekodi ya diamond.
 
Topic: List of most viewed YouTube videos of
Tanzanian artist 2014


List of most viewed YouTube videos of Tanzanian
artist: List of most viewed YouTube videos -
Wikipedia, the free encyclopedia

1. African Divas - Tanzania - Tribal Twerk -
Shaa - Sugua Gaga - Copyright Claim by
Spice Digital SA views 6,024,451 African
Divas - Tanzania - Tribal Twerk - Shaa -
Sugua Gaga - Copyright Claim by Spice Digital
SA - YouTube

2. Diamond Feat Davido - Number One Remix
(Official Video) views 4,229,406 Diamond Feat
Davido - Number One Remix (Official Video) -
YouTube

3. Diamond Platnumz - Number One (Official
Music Video HD 1080p) views 3,126,010
Diamond Platnumz - Number One (Official
Music Video HD 1080p) - YouTube

4. Diamond - Moyo wangu (TEAM TZ)
(G5 world - Let's meet and click - Place for all entertainment) views 1,936,896 http://
Diamond - Moyo wangu ([url]www.Teentz.com) (www.G5click.com) - YouTube[/url]

5. Juliana Kanyomozi & Bushoke with Usiende
Mbali on UGPulse.com Ugandan Tanzanian
East African Music views 1,844,776 Juliana
Kanyomozi & Bushoke with Usiende Mbali on
UGPulse.com Ugandan Tanzanian East
African Music - YouTube

6. BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA
views 1,452,931 BUSHOKE FT K-LYNN -
NALIA KWA FURAHA - YouTube

7. Rose Muhando Yesu Nakupenda Yesu
Nakupenda views 1,372,782 Yesu Nakupenda
- YouTube

Check this out against : The Gatundu Prince East
Africa 30 Most watched videos on YouTube http://
thegatunduprince.wordpress.co...os-on-youtube/

**********
this was before "nita mpata wapi" haujawa released.
 
Topic: UKIMUONA: The best song kutoka kwa
Diamond

By idawa

Jamaa ni mkali na anaijua kazi yake, ila huo
wimbo ni kati ya chache ninazozikubali, Mungu
amsaidie pamoja na skendo zake za uzinzi.
Unaweza kutaja na wewe ni wimbo gani
unaukubali toka kwake.
By :
elmagnifico:
yani huu wimbo toka autoe nimeuskiliza mara
sijui ngapi kuna kipindi nilikiwa naweka auto
replay kwa huu wimbo siku nzima.
Ukimwona kwa upande wangu ndio wimbo bora
na safi kwa diamond. Producer aloutendea haki
upande wa beat maana beat yake inateka hisia
ukija lyrics na melody za diamond ndo kamaliza
kabisa uwa nahisi kasema kile ambacho
ningetamani kumwambia mtu flani.
Eeeeh ukimwoooona
 
Last edited by a moderator:
Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi'
iliyoweka youtube november 20 ina views, 419,112 ,likes 3500,dislikes 400
UPDATES:
Views: 459, 650
Likes:3565
Dislike: 421

Percentage Dislike to Like: 11.8%

Can 11.8% change anything?
 
Jamaa anazidi kupaa.
 

Attachments

  • 1416900351675.jpg
    1416900351675.jpg
    59.2 KB · Views: 81
Tukisema mvaa moka tuna onekana wabaya haya sasa.tsht na moka wapi na wapi??
 

Attachments

  • 1416902996096.jpg
    1416902996096.jpg
    53.5 KB · Views: 67
Back
Top Bottom