Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ndo maana Mungu anamzidishia....anampa furaha sana mama yake ...Mama ni Mungu wa pili, akifurahi yeye kila kitu kinafunguka.....

Hongera Chibu....

hili ni fundisho kwa sisi wanaume kutelekeza watoto ni laana na mara nyingi watoto wanao kimbiwa na baba zao huwa hawa shindwi maisha....mwisho wa siku aibu inarudi kwa baba pale anapo geuka matonya kwa mwanae alie mkimbia those dayz.
 
Am back guys na le tamkoz....

Domo kaiba tuzo za watu jamani.tuzo ya afropop ni ya "mwana" ile ya east Africa ni ya "kimasomaso"
Na ile ya "new comer" ni ya "naksi nakshi"

Kwa niaba ya wafuta vumbi na matisheti ya "the return of the king" tunamtaka azirudishe kabla hatujakodiwa tena kwenda kumzomea pale eapoti hata kama kalitangaza taifa..
Natoa kompilimentari ya bando la buku kwa atakaefika eapoti na mabango ili tumzomee mwizi wa tuzo za davido,iyanya na mafikizolo.

Hahahahaha kuna watu wanatamani kutuma hizi meseji za hivi ila hata wao karoho ndani kwa ndani kanakataaaaa.....
Hahahahaa kama nawaona vile.

Le wafuta vumbi's tamkoz
 
Nina hasira sana na Baba yangu,Mungu anisamehe tu kwa kweli.
 
Innocizy
Hahahaaa Le super tamkoz una utani na mtu fudenge na kampeni yake ya bundle na tisheti kule mtaa wa pili, Afu mie napata wasiwasi yule atakuwa Bob junior yule maana hampendi Chibu hadi Nahisi anaumwa kichwa! Yuko radhi kumshabikia mtu wa Nigeria lakini si diamond lols!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha mm najaribu kuwa in their shoes hahahaha....
Sasa ndo unamchukia diamond na kabeba matuzo kama haya lazima uje na le super gademu tamkoz hahaha...

Ukitaka ujue akili ndogo inaongoza kubwa kule subiri uone majibu yao sasa baada ya tuzo hizi
 
watu kule wanajipa moyo balaa eti ni ktu cha kawaida tu kupata tuzo alafu sasa chakushangaza zaidi wanatamani tuzo za kili zije ili wapige kura balaa ili kiba ashinde.swali la kujiuliza kama tuzo kubwa kama za chanel o ni zakawaida mbona wanazipangia mkakati tuzo za kili?au ndo nguruwe sili lakini mchuzi wake nala
 
swali zuri sana hili kula likex1999.
 
watu kule wanajipa moyo balaa eti ni ktu cha kawaida tu kupata tuzo alafu sasa chakushangaza zaidi wanatamani tuzo za kili zije ili wapige kura balaa ili kiba ashinde.swali la kujiuliza kama tuzo kubwa kama za chanel o ni zakawaida mbona wanazipangia mkakati tuzo za kili?au ndo nguruwe sili lakini mchuzi wake nala
Kumbe tuwashauri ChO kuwe na kura za kukataa vile vile, au? Manake wapwa haitatokea kupiga kura za NDIYO pande zile kwa ajili ya mtu wao sasa ili na wao wapige pige kidogo, basi ziwepo za HAPANA, hapo vipi?
 
Diamondi kamaliza mchezo, waliosema Mond anasafiri na nyota ya Wema wamenoa Sasa anasafiri na ya Zari, baada ya hapo atatafuta mrembo wa Kenya atamalizia wa Rwanda ndio anarudi Tz kuoa miss tz wa 2016
 
Leo kwa makusudi tuu niliamua kukaa kimya nisheherekee ushindi kwa amani... Wazima wadau
 
Kumbe tuwashauri ChO kuwe na kura za kukataa vile vile, au? Manake wapwa haitatokea kupiga kura za NDIYO pande zile kwa ajili ya mtu wao sasa ili na wao wapige pige kidogo, basi ziwepo za HAPANA, hapo vipi?

hahahaha kwa bahat mbaya hakuna sehemu ya kupinga matokeo so itabidi waukubali ukweli japo ni ngumu kumesa
 
Diamondi kamaliza mchezo, waliosema Mond anasafiri na nyota ya Wema wamenoa Sasa anasafiri na ya Zari, baada ya hapo atatafuta mrembo wa Kenya atamalizia wa Rwanda ndio anarudi Tz kuoa miss tz wa 2016

Cku hizi sibishani nao maana ukitaka kumuua mende kwa nyundo utaumia ww tu

Rekodi ya tuzo saba kili walisema kawaida wakat hakuna msanii aliyewahi kufanya hivyo , Tukaja na rekodi chanell tna watabaki sema hvyohvyo
 
Back
Top Bottom