Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sina tatizo na DIAMOND kabisa, sina kabisa.

Go on doing what u r doing diamond.
 
anamaanisha alitegemea kungekua jap na wasanii weni kutoka nchini kwake especially ali kiba anaepayukapayuka tu kama popo lakini cha kushanga alikua peke yake kwenye tuzo wengine bado hawajafika levo yake
 
Hali zenu wana jf,
Binafsi ni shabiki mzuri sana wa nyimbo za diamond na nina mkubali sana,japo huwa anaimba juu ya topic moja tuu, ambayo ni ya mapenzi.

Nimekuwa nikifuatilia mashairi ya nyimbo zake, na naona analalamikaa sana kuhusu nyota, nikinukuu wimbo wake huu mpya wa ntampata wapi, '' ale nyotaaa, nyota ndio tatizo langu, ale nyotaaa, mpaka nalia peke yangu...!"

Na huu si wimbo wa kwanza kuongelea nyota.
Naamini tupo tofauti, na ufahamu upo tofauti, nijuzeni ndugu zangu, huyu jamaa analilia nyota gani?
 
anazingua tu. mbona huwa anasema anamshukuru mungu nyota yake inang'aa?
 
anamaanisha alitegemea kungekua jap na wasanii weni kutoka nchini kwake especially ali kiba anaepayukapayuka tu kama popo lakini cha kushanga alikua peke yake kwenye tuzo wengine bado hawajafika levo yake

ebhanaeeh umeeleza kinagaubaga kweli, we ndo diamond nini?
 
Moderator unganisheni hizi thread zinazo muhusu diamond coz kuna special thread ya fans wa diamond
 
Last edited by a moderator:
Hali zenu wana jf,
Binafsi ni shabiki mzuri sana wa nyimbo za diamond na nina mkubali sana,japo huwa anaimba juu ya topic moja tuu, ambayo ni ya mapenzi. Nimekua nikifuatilia mashairi ya nyimbo zake, na naona analalamikaa sana kuhusu nyota, nikinukuu wimbo wake huu mpya wa ntampata wapi, '' ale nyotaaa, nyota ndio tatizo langu, ale nyotaaa, mpaka nalia peke yangu...!"
Na huu si wimbo wa kwanza kuongelea nyota.
Naamini tupo tofauti, na ufahamu upo tofauti, nijuzeni ndugu zangu, huyu jamaa analilia nyota gani?

Hana ubunifu kwenye uandishi. Almost
Kila nyimbo lazima alitaje jua
 
Sasa ikiwa ya Burundi watakojoa dagaa, hii ya Washington DC kesho kutwa si watakunya kambale kabisa! Miba za kambale si kuchana chana nanii huko...!!

Lazima wanye mawe ya mwanza
 
Back
Top Bottom