Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

aahahaaa!!mi niko poa kabisaaa!!haya bwanabwe endelea na harakati zako ninaimani watajileta wenyeweee!!na u-team kiba watauweka pembeni kwa muda
Umeona enh? Mjini hapa, watu mjini hapa wanaishi kwa bili zinazolipwa na watu wengine huku walipa bili wakitarajia mambo mazuri siku za usoni!
 
Umeona enh? Mjini hapa, watu mjini hapa wanaishi kwa bili zinazolipwa na watu wengine huku walipa bili wakitarajia mambo mazuri siku za usoni!

Ahahahaha!!hebu acha kutisha watu
 
Nanukuu..

""sijawahi kuwa na sina bifu na alikiba""

""kila mtu anahaki ya kumchagua amtakae, uzalendo haununuliwi bali unatoka moyoni kwa mtu husika, kama unampigia davido au yeyote yule ni haki yako lakini kama unaona tuzo inafaa ije bongo nipigie""

""Nadhani mabishano ya mashabiki juu yetu sisi kwa sisi hayawezi kutupeleka popote, imefika wakati wafananishe wanamuziki wetu na davido, wizkid etc. ""

""unapoamini masuala ya ushirikina unamkosea mwenyezi Mungu, sina imani juu ya mambo hayo, ña mimi anachoamini babu tale siwezi sema nimzuie, kila mtu anahaki ya kuamini anachokiamini""

""Nguvu za wanaonichukia na kupiga kura kwa davido, ni bora pia wangetumia nguvu hiyo kuwapa support zaidi wasanii wetu,, mwakani tuwe na wawakilishi zaidi ya wawili""

""Huwa simtozi mtu pesa yeyote kwenye collable, na wala sijawahi tozwa... Nimefanya collable karibu na A list wote wa Afrika, nyimbo nyingi zipo tayari baadhi tu zinasubiri wakati wake kufanya video shoot, hata hivyo haziwezi kuachiwa achiwa tu, sababu tunataka kila mwaka mziki wetu uwepo kwenye chati kubwa za muziki""

baadhi ya alivyoongea president wa wasaaaaaaaaafi.... Mr. Icon
 
It's diamond vs davido kuanzia mziki hadi followers insta
 

Attachments

  • 1436216384023.jpg
    1436216384023.jpg
    38.4 KB · Views: 156
nipo wangu nami nililimwa ban eti kuhusu udini yaan hata sijui nilijibizana wapi,??ILA hakuna shida mzurimie kafanyajeeee???

Ahahahahahahaa!!au kuna siku mwenzangu ulitimba kule kwenye uzi wa dini?nimecheka sana ila pole na nilikua sijui ujue??mzurimie mwenzangu ana wiki inaenda kwisha ya pili sasa mi sijamuona,sasa leo nimezungukia kwa profile yake kule ndio nikaona yuko Ban!

Karibu mumy nilikumiss
 
Back
Top Bottom