Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Makamanda wanapenda kujiliza liza na michango ya kila aina. Ney anawafagilia sana sikuona hata promo yao kwake hata kumpa show kwenye kampen za Lissu hawakutaka. Asilimia kubwa ya wasanii bongo walihusika kwenye kampeni za CCM miaka nenda rudi leo hii kuona kijana ana watoto kenya,Tanzania na uganda imewaumaaa mbaya zaidi kelele zake kwa Forbes zimewachomaa wanabaki kumsagia kunguni
 
Angalia spidi ya disqualifying partition ndio utaelewa kua watu wana mengi. Ray C mwanzoni alimsifia ila Leo kaongea ukweli wa moyoni na kaweka evidence based facts!
Weka screenshot
 
karma is bitch sometimes,nasema we have to play smart and positive.ukishakuwa msanii mkubwa popote unapaswa kusemea jamii yako vizuri pia na kuitetea so unapokosa hayo Kwa maslahi yako tatizo ndo linapoanzaa
 
kumbe kinachowasumbua ni wivu tu walitaka awapigie Show bure
Mbona basi Roma hawampigii Promo akaitwe huko BET na yeye? πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiwa masikini sana unakuwa na chuki tu kwa watu walio nazo.

Ndio sababu siku tajiri akifa utaona masikini wanashnagilia eti afadhali maana alikuwa ana ringa sana.

Nakushauri tafuta hela mkuu
Hata rais wetu magu alikua na hii mentality kwa wenye nazo
 
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo diamond akikosa hiyo tuzo chadema itakuwa imepata ushindi?
Naona unaDEMKA'!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…