Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Acha kuifananisha marekani na ujinga wa ccm.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Mnatuharibia Taifa letu lenye sifa njema kwa mambo yenu ya kipuuzi.
Ni kama mnaumia na mafanikio yake.
Yaani Taifa limekuwa la chuki,vijicho,fitna.
Kazi mnayo.

At least mngekua mnafatilia vitu vya faida kwa wananchi.
 
Aise mswahili siyo mtu🤣🤣🤣 hiyo kunguni inasagwa hapo twitter kwahuyo bwana siyo ya mchezo
magunia kwa magunia
Total mass destruction siyo poa kabisa kama una moyo wa betri hiyo vita ni kali sana wallah
 
Hata jamaa asiposhinda hii tuzo maisha yake yataendelea wachawi sio lazima wavae vibuyu na kupaa kwa ungo usiku itoshe kusema hawa change Tanzania,maria Tshai,Kigogo na chadema yao wote ni wachawi na wenye roho za chuki kwa kijana au vijana wanaojitafutia rizki kwa nguvu zao.

Kigogo anamchafulia kijana mdogo aliyeamua kujiajiri kwa kuuza sabuni zake kisa tu kumsapoti diamond....na sapoti yenyewe ni kuposti tu hata kura yenyewe hawezi kupiga,hawa jamaa wanaojiita wanaharakati nimewadharau sana kumbe kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti bora sisi ambao hatukusoma hatuwezi kulaumika.

Harakati huwa hazifungamani na upande wowote,husimamia haki na usawa kwa kila mmoja,aibu ni kuona wanaharakati wanapangiana ufuasi wa vyama shenzy kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…