Niliwahi kusema na narudia tena kusema leo kuwa, "CHADEMA" ni kikundi cha "wahuni".
Sasa hivi hawa wahuni wameacha kufanya siasa zenye tija kwa Watanzania, wanafanya siasa za kuwachafua watu.
Diamond Platinumz akiwa kama Mtanzania huru ana haki na uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kile cha siasa.
Ni haki yake kikatiba kuwa Mwana-ccm na ni haki yake kui-support ccm apendavyo.
Sisi tunapaswa kumpima Diamond Platinumz kwa muziki wake na siyo vinginevyo.
I'll be so surprised if BET organizers will comply with these cyber bullies and ditch Diamond Platinumz.
These so called themselves, "Movement #Change Tanzania" are nothing but cyber bullies and political hooligans.
I believe BET is not a political organization. BET will discerningly and wisely rule out this matter and send a strong message to those cyber bullies who want to tarnish the Image of a talented African artist for their own political agenda.
#IstandwithDiamondPlatinumz