Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Kabisa
 
Naona hadi wa Nigeria wamekuja kusign kama huyo Jacob Kaduma ni Mnaijeria.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wajinga wa chadema wanafikrii hapo ndio watakuwa wameikomoa ccm
Kaduma sio mnaija
 
Katika huu uzi nimejifunza kitu siwezi kujihusisha na Mambo ya siasa humu JamiiForums kwa sababu nataka kufanya biashara walengwa wakubwa wapo humu JF.

Nikijihusisha na siasa tu nitapoteza wateja wengi; kuna watu wengine wamepoteza wapendwa wao kwa ajili ya siasa sasa nkiegemea upande fulani nitapeperusha wateja bure.

Bora siasa iwe moyoni mwangu sio hadharani
 
Hata mimi, yaani nitafurahi mno akiipata maana nguvu inayotumika kumkandamiza ni kubwa mno sijui wanafaidika na nini?
Aipatie wapi? Ameshalikoroga acha alinywe
 
Ni kwavile tu huna akili. Ungekuwa nazo ungejua kwamba inchi kwasasa haina umoja na kilicho poteza umoja ni wapumbavu kama wewe
Inchi =Nchi√
ndio maana nasema kila siku mmelaaniwa na wazazi wenu kamwe lichama haliwezi kufanikiwa..
Hapa kwa diamond mnatengeneza umoja au makundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…