Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Na ndo anachokosa huyu mtandale,
Sijajua shida ni PR au nini
 
Mnajidhalilisha nyinyi tu kushindana na vitoto vidogo,mwisho wa siku mnabaki uchi tu.

Siasa ishawashinda huko mpo mpo tu Kigogo/Chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti anayewawakilisha.

Vimetukanwa havina hamu
Hakuna anae jidhalilisha tunaweka rekodi sawa .
 
Mchezo ulivyoanza nilihisi hao jamaa wanajitekenya na kucheka wenyewe

Hii issue imekuwa noma zaidi, mond akubali na aombe radhi jamii
Aseeee hata mm skuzan issue itafika huku..never underestimate your enemy..GADAF ALISEMA KULE BENGHAZI WALE N MENDE TU ...the rest is history
 
Hivi unajua msingi wa haya yote Ni Nini ?

Hatusagii sumu Huyo Jamaa sababu ga kusaidia watu unanipata mzee.

Tunamsagia kunguni kwa kuamua "kukaa kimya" sawa mzee

Tumeelewana hapo
 
Sawa sisi tumeamua hapati tuzo

Case closed[emoji1][emoji205]
 
Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Ajifunze kuwa na wananchi,tatizo amekuwa na nyodo sana huyu jamaa,,ajifunze kwa Davido...kaa vipi bora akae kimya...
 
Hata mimi ninasema sadala asipate tuzo hii, ameshiriki kikamilifu kutufikisha hapa, kama wasanii kipind mwendazake anasigina katiba wangekua na misimamo kama Roma na Nay bas hata huyu shujaa labda angepunguza kidogo maumiv sasa,yy alikua biz kujibrand kupitia maovu acha wamchore bhana
 
Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Kama wana ccm ni wengi kiasi hicho wy ashindwe?
Weka Kando alivokua anamkatikia magufuli alidhani Sisi hatutageuka wachawi mwisho wa siku?
 
Yaani Chadema mmetoka kupambana na serikali mpaka mnapambana na Diamond..Shame on you!!!
Yaani huyu atatukoma sana na hii ni salaam tu je unajua ule wimbo baba lao sasa kakutana na visiki
 
Sipendi mtu aharibikiwe, Lakini mwaka Jana nililisema sana jinsi wasanii wa Tanzania wanavyotumika vibaya kisiasa iwe A au B. Panda jukwaani nadi Sera za unayemshabikia lakini kugeuka mwanasiasa na kukashifu upande mwingine ilikuwa lazima iwagharimu.
Bado yule Zunchu Mawe[emoji23][emoji23]
 
Yeyey kufanya siasa za uadui majukwanii sawa

Ila raia wakirespomd imekuwa nongwa

Achane unazi

Mwambieni sadala akiamua kuwa mwanasiasa aachane na mziki otherwise anawauzi walaji wa mziki wake
 
CCM genge la wachawi[emoji1][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…