Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Kupitia hili wasanii wengi watapata cha kujifunza ,maana kwa ujumla wao tukianza na mondi,kiba, konde walijichanganya sana kukomaa kwenye siasa sijui ndio kujikomba ili wasifuatuliwe na serikali.

Hapa ndipo nilipoamin kuwa hawa wasanii wana biashara nyingine nje ya mziki ,maana sio kwa kujikomba vile kwa magufuri ,mtu ukishakuwa na mashabik wa kutosha epuka siasa kabisa maana lazima utawagawa tu mashabik zako.

Mm nilikuwaga namwelewa sana Alikiba ila tokea mwaka Jana 2020 nilimu unfollow had insta .

Wasanii kaeni mbali na siasa maana siasa imebeba maumivu kwa baadhi ya watu walio wengi wachache wakineemeka na siasa ,haiwezekan msanii unayejielewa et unaandika mstari kama huu , asiyeipenda ccm abane choo
 
Huu ni uhuni na zaidi ya roho mbaya yanafanywa haya na watanzania wenzako kisa yeye ni kushabikia chama tawala yeye nae ni binadamu kama wao. How iwe vita kwenu Chadema Genge lenu mnachokifanya ni ushamba wa hali ya juu sana but hata akikokosa tuzo bado hapungukiwi na chochote kwani mara ngapi anakosa na dio yeyetu.

Chadema ni chama cha hovyo haijawahi tokea mkifanikiwa anguko lenu nanyi pia litakuwa kubwa huko mbeleni manayake mjue diamond pia ana fan base kubwa sana. Yaani mnapambana kumshusha mtanzania mwenzenu kwa tofauti za kisiasa tu.

Hii nchi ina watu wa ajabu sana.
 
Japo mm ni mkali lakini roho mbaya sina muacheni kijana ashine bana ......
 
Kwa takwimu zipi?
 
basi kama hana kosa na tuzo hii ndio hawezi ipata!
Hiyo ni tuzo inashindaniwa na wengi asipopata ninkwa sababu kutakuwa na mtu kamzidi vigezo ila siyo kwa sababu ya wivu wa wajinga wachache!

Na hata ile tu kuwa nominated ni ushindi kwake,

Na diamond kafika hapo alipo kwa sababu ya juhudi zake na si za wanachadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…