Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Naona hadi wa Nigeria wamekuja kusign kama huyo Jacob Kaduma ni Mnaijeria.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wajinga wa chadema wanafikrii hapo ndio watakuwa wameikomoa ccm
Mie nimeingia pale Soma Sana wanachodai. Nikashindwa kusaini ninakumbuka kuwa tusameheane ndio dini yangu ,kumpenda mwenzako Kama unavyojipenda Mana hizo nyumba za ibada huwa siendi kuchangiana hela mkuu.yaani dini ni kumpenda ama kumfanyia mwenzako kama unavyompenda ama navyompenda nifanyiwe. So ukiniuliza mie dini gani ndo jibu langu
 
Hivi kwannini watu wanapenda kuwapangia wenzao maisha???
Kila mtu anafanya vitu kwa maslahi yake binafsi, kwahiyo mtu asifanye show ya CCM akalipwa maisha yake yakaenda kisa anawaogopa Chadema... Hakii kuna watu wana akili za ajabu sijapata kuona aisee

Kama mnamnyima tuzo mnyimeni ila hii sababu ya kisiasa ni sababu ya kijinga kupata kutokea!!!
 
Kweli watu wana kazi.... !!! Au hawana kazi ? Sijui kipi ni kipi...., acha tu, niendelee na maisha yangu

By the way huyu dogo ni Mwanasiasa ?, Mpiganaji, Mwanamapinduzi au Muimbaji / Mbudurishaji ? Na hizo tuzo ni za nini?
 
Mie nimeingia pale Soma Sana wanachodai. Nikashindwa kusaini ninakumbuka kuwa tusameheane ndio dini yangu ,kumpenda mwenzako Kama unavyojipenda Mana hizo nyumba za ibada huwa siendi kuchangiana hela mkuu.yaani dini ni kumpenda ama kumfanyia mwenzako kama unavyompenda ama navyompenda nifanyiwe. So ukiniuliza mie dini gani ndo jibu langu
Ni ujinga tu kufikiri CCM itatoka madarakani kwa harakati mbuzi kama hizi.

Na 2025 tutawakumbusha
 
I meant Roma na Stamina...,waliutosa kwa kumkosoa...,kuna lile song lenye maneno...., Nasikia yuko MBOCHI (Chimbo) wakimaanisha mwendazake alikimbilia Tocha, Covid-19 ilivyo-ibuka mara 1
STAMINA si ROSTAM??

aliutosaje?
 
Hivi kwannini watu wanalenda kuwapangia wenzao maisha???
kila mtu anafanya vitu kwa maslahi yake binafsi, kwahiyo mtu asifanye show ya Ccm akalipwa maisha yake yakaenda kisa anawaogopa Chadema... Hakii kuna watu wana akili za ajabu sijapata kuona aisee [emoji2297]
Kama mnamnyima tuzo mnyimeni ila hii sababu ya kisiasa ni sababu ya kijinga kupata kutokea!!!
Yani bora uwe na akili za kuku kuliko hawa jamaa zetu
 
Naona hadi wa Nigeria wamekuja kusign kama huyo Jacob Kaduma ni Mnaijeria.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wajinga wa chadema wanafikrii hapo ndio watakuwa wameikomoa ccm
Kaduma ni mhehe.....acha uongo
 
Watu ni wanafiki sana yani diamond kasaidia watu wengi sana

Diamond kajenga miskiti.

Diamond kanunulia vijana gari, bodaboda.

Diamond katoa wasanii kibao.

Diamond kafungua tv, radio kaajiri vijana.

Unafiki wa hawa watu kipindi diamond nyimbo zake zimesusiwa na media za bongo kuna mpumbavu yoyote aliyewahi kuja kumsemea.

Wabongo tuna kaunafi flani.
 
Back
Top Bottom