Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaaKichwa maji Wewe........Mtu gani usie elewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?
Haya wewe unae jua kuwa vanesaa yupo vevo hadi sahizi kaingiza sh ngapi kupitia Vevo? Alikuwa analipwa sawa na Rihanna kwa view mmoja? Vevo wamewahi itangaza wimbo wake hata mmoja? Kuwa na akili acha kuropoka
Au kisa ushauri katoa Diamond
Elimu Elimu Elimu!Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Hapana sijaelewa ila nimeshangaa na kujiulizaUmesoma alichoandika au umetanguliza fitna tuu????
Ongera sana ndugu "msomi" uliyepata ELIMU ELIMU ELIMU.Elimu Elimu Elimu!
Diamond anafanya mziki ili kupata faida, anajua kutengeneza pesa. Ametoa darasa zuri sana. Ni muhimu wasanii kupata faida na kusonga mbele, huenda hao wengine huliwa pesa na madalaliTushangae wote, tatizo watoto wa tandale ulimbukeni, kila kitu kwao wanashikilia bango mfyuu
Ahsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Mkuu hebu soma tena maelezo ya diamond..mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
Post muhimu hii,ingekuwa vyema ingepelekwa juu kwa urahisi wa watu kufahamu suala hili.Na kuongezea tu VEVO hawalipi msanii binafsi ni lazima awe kwenye record lebo yenye shareholder kama universal , sonny au rock nation
Wasanii wa Tanzania ambao awako kwenye record lebo hawanuafaiki zaidi ya kuwa na status tu yupo VEVO.
Kuna siku mwaka Jana Flaviana Mtata aliuliza kwanin wasanii wa Tanzania wako VEVO wanajua haki zao? Wengi walimtukana ila nakumbuka wakazi alijitaidi kueleza kwaninn yeye hayupo VEVO,
Unakichwa kizito sanaAhsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Kama bado hujaelewa, basi nakubaliana na FaizaFoxy kuwa baadhi ya wadau humu walienda shule kusomea ujinga...sina uhakika kama naropoka na nimerudia kusoma lakini bado nashangaa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
NonsenseKaona watu hawana habari anaanza kujiongelesha mwenyew utadhani kaulizwa, nini Vevo ? Hata mbunguni akitaka aende,watu tupo busy na habari za mama wema na steve nyerere,hatutoi kiki
Mpaka utakapojua sio akiri ni akili ndio utapata uelewa.Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Nashukuru sana kwa kutambua kuwa Nina kichwa kizito sana ndio maana nashangaa,Unakichwa kizito sana
Ok, kumbe ni akili ila bado sijapata uelewa ndio ninajiuliza,Mpaka utakapojua sio akiri ni akili ndio utapata uelewa.
We chuki zitakuuwa wewe! Hapo Mondi anawastua wasanii wenzake wewe unamwaga povu shida ikowapi!Kaona watu hawana habari anaanza kujiongelesha mwenyew utadhani kaulizwa, nini Vevo ? Hata mbunguni akitaka aende,watu tupo busy na habari za mama wema na steve nyerere,hatutoi kiki
Fanyia kazi hilo la kichwa kwanza ndio utajua kwann"Nashukuru sana kwa kutambua kuwa Nina kichwa kizito sana ndio maana nashangaa,
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Hili ni neno la lugha gani?kwann"
Umeelewa alichokisema?! Amesema watu walikuwa wanamuuliza kwanini hana account ya VEVO na leo ndo ameamua kuwajibu wale wote!!Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Hata Gosby nae aliandikwa na Clouds!Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake.