thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaaKichwa maji Wewe........Mtu gani usie elewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?
Haya wewe unae jua kuwa vanesaa yupo vevo hadi sahizi kaingiza sh ngapi kupitia Vevo? Alikuwa analipwa sawa na Rihanna kwa view mmoja? Vevo wamewahi itangaza wimbo wake hata mmoja? Kuwa na akili acha kuropoka
Au kisa ushauri katoa Diamond
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."