Diamond Platinumz: Kwa nini nipo VEVO? Nasaha kwa wasanii

Diamond Platinumz: Kwa nini nipo VEVO? Nasaha kwa wasanii

Kichwa maji Wewe........Mtu gani usie elewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?

Haya wewe unae jua kuwa vanesaa yupo vevo hadi sahizi kaingiza sh ngapi kupitia Vevo? Alikuwa analipwa sawa na Rihanna kwa view mmoja? Vevo wamewahi itangaza wimbo wake hata mmoja? Kuwa na akili acha kuropoka

Au kisa ushauri katoa Diamond
Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
 
Elimu Elimu Elimu!
 
Umesoma alichoandika au umetanguliza fitna tuu????
Hapana sijaelewa ila nimeshangaa na kujiuliza
'mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
 
Tushangae wote, tatizo watoto wa tandale ulimbukeni, kila kitu kwao wanashikilia bango mfyuu
Diamond anafanya mziki ili kupata faida, anajua kutengeneza pesa. Ametoa darasa zuri sana. Ni muhimu wasanii kupata faida na kusonga mbele, huenda hao wengine huliwa pesa na madalali
 
Ahsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."

Ukimsoma Diamond hapo juu anasema kuwa anatambua kuwa wasanii wengi wapo Vevo kupitia watu wa kati, yaan middleman, na matokeo yake hawana mkataba na Vevo bali ni hao middlemen ndio wana hiyo mikataba na hivyo kunufaika na kazi hizo huku wasanii wakikosa jasho lao.

Hoja yake ya pili ni kiasi cha malipo,kwamba msanii alipwe malipo makubwa kuliko ambayo angeyapata kwenye youtube.

Sasa unless kama unaweza kuthibitisha kuwa Vanessa Mdee hapitii kwa middleman na analipwa sawa na wasanii wa Marekani basi hoja yake hii ni very valid na ni uamsho kwa wasanii.
 
mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
Mkuu hebu soma tena maelezo ya diamond..
 
Na kuongezea tu VEVO hawalipi msanii binafsi ni lazima awe kwenye record lebo yenye shareholder kama universal , sonny au rock nation
Wasanii wa Tanzania ambao awako kwenye record lebo hawanuafaiki zaidi ya kuwa na status tu yupo VEVO.
Kuna siku mwaka Jana Flaviana Mtata aliuliza kwanin wasanii wa Tanzania wako VEVO wanajua haki zao? Wengi walimtukana ila nakumbuka wakazi alijitaidi kueleza kwaninn yeye hayupo VEVO,
Post muhimu hii,ingekuwa vyema ingepelekwa juu kwa urahisi wa watu kufahamu suala hili.
 
Ahsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Unakichwa kizito sana
 
sina uhakika kama naropoka na nimerudia kusoma lakini bado nashangaa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Kama bado hujaelewa, basi nakubaliana na FaizaFoxy kuwa baadhi ya wadau humu walienda shule kusomea ujinga...
 
Kaona watu hawana habari anaanza kujiongelesha mwenyew utadhani kaulizwa, nini Vevo ? Hata mbunguni akitaka aende,watu tupo busy na habari za mama wema na steve nyerere,hatutoi kiki
Nonsense
 
Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Mpaka utakapojua sio akiri ni akili ndio utapata uelewa.
 
Unakichwa kizito sana
Nashukuru sana kwa kutambua kuwa Nina kichwa kizito sana ndio maana nashangaa,
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
 
Mpaka utakapojua sio akiri ni akili ndio utapata uelewa.
Ok, kumbe ni akili ila bado sijapata uelewa ndio ninajiuliza,
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
 
Kaona watu hawana habari anaanza kujiongelesha mwenyew utadhani kaulizwa, nini Vevo ? Hata mbunguni akitaka aende,watu tupo busy na habari za mama wema na steve nyerere,hatutoi kiki
We chuki zitakuuwa wewe! Hapo Mondi anawastua wasanii wenzake wewe unamwaga povu shida ikowapi!
 
Nashukuru sana kwa kutambua kuwa Nina kichwa kizito sana ndio maana nashangaa,
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Fanyia kazi hilo la kichwa kwanza ndio utajua kwann"
 
Sasa mi kichwa maji najuaje mapato ya vanesa, nashukuru pia kwa kutambua kuwa sina akiri na kuwa mropokaji ndio maana nashangaa
"mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Umeelewa alichokisema?! Amesema watu walikuwa wanamuuliza kwanini hana account ya VEVO na leo ndo ameamua kuwajibu wale wote!!

Btw, kama kwa Vanessa ilionekana ni jambo la kawaida tu; kwanini Bongo.5 waliandika?! Ulishawahi kuone media yoyote ikiandika kuhusu kuwa na Youtube account?
Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake.
Hata Gosby nae aliandikwa na Clouds!

The problem watu mnapenda kubadilisha magoli!! Ni juzi tu hapa kulikuwa na mjadala kwamba janja janja ya Diamond kununua views kwishney kwa sababu hivi sasa yupo kwenye mtandao makini VEVO!!! Katika kuelezea janja janja ya Diamond VEVO ilionekana sio kitu ya kawaida lakini leo kazungumzia yeye inaonekana what's so special with VEVO!!!
 
Back
Top Bottom