Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Sasa Cha ajabu nini?
View attachment 2155876

Msikilize mwenyewe:

View attachment 2155877

Akaulizwa: How old are you?

Diamond: 31st

😎

View attachment 2155876

Msikilize mwenyewe:

View attachment 2155877

Akaulizwa: How old are you?

Diamond: 31st

😎
Sasa Cha ajabu nini hapo,Mond kuchapia kizungu?kwani kizungu kimemsaidia nini mpaka hapo alipofika?aliishia la saba!!lakini ameajiri akina nyie wenye mashahada yenu na vizungu vyenu kama vya mamtoni!sasa nani anafaida kwenye Dunia,nyie mnaojua kizungu lakini hamjatengeneza hata ajira ya genge,na huyu mtoto wa tandale anayetoa ajira kwa kaka na dada,baba zenu,
Kwa ufupi tu,aliwahi kufanya sherehe ya kuzaliwa ya mtoto wake akatumia 50M!
Hicho kiasi ni kiinua mgongo Cha mtumishi wa umma aliyefsnya kazi miaka 40!!!
Hamtakiwi kushangaa Mond kuchapia kizungu!shangaeni inakuwaje wahitimu wa vyuo wanaajiliwa na mtoto wa darasa la saba!!hapo ndio Kuna tatizo,msikwepe!!tafakari,Mond,rayvsn,kiba,zuchu,jux Hawa vijana wanapesa ndefu kuliko wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta ajira,Richa ya kuwa na vizungu viiiiingi
 
Nakazia
 
 
Ulisikia lile neno "about it " alivyolitamka "abauri ir" 😂 yaani anajaribu kuslay kama mmarekani bahati mbaya ndio hivyo ulimi mzito....angeongea tu English yetu ya kibantu shega tu, mbona wanaigeria,wakenya wanastyle ya English Yao hadi wasanii wakubwa wanaishi nayo
 
Poleeeeh kwa kuteseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nn "abaur ir? Woiiiiiiih
 
Ati nini? Abouri ir? Embu niache mie 😂😂😂😂😂😂
 
Hujui kiingereza. Kaa kimya.
Unaweza ukawa sawa, lakini nimezungumza kiingereza for much more time than I can remember. Nimeishi kwenye nchi zinazongumza kiingereza, na nimeshuhudia hilo neno likitumika hata kwa wanaume mkuu. Na natives ndiyo walikuwa wanalitumia bro.
Kama hujapata exposure vema jaribu kwenda kuishi kwenye hoods nchi za western. Utajifunza mengi kwenye lugha yao kwa sababu most residents wanatumia lingo sana. Wanakuwa wanaelewana wenyewe kwa wenyewe. Ukiishi kwenye suburbs hautapata kupanua wigo wa lugha yako, kwa sababu watu wamestaarabika. Lugha unaweza ukawa unaijua ikiwa rasmi ama ikiwa kama lingo bro. So its safe to say Diamond ametumia lingo, right?

Future (rapper) alikwambia "He got the keys" lakini hakumaanisha funguo. Get it through your head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…