Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Una patent right na neno Simba? Nenda kule Serengeti ukaanzishe petition ya kuzuia wanyama waliotumia jina la Simba kabla ya haku katimu alichonunua Mo kuanza kuliiga jina hilo kutoka kwa wanyama poriKinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisibwa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.
Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Best time ever kuwa shabiki wa yanga, SIMBA wanaumia kisaikolojia, kiakili, kimwili, ki kila aina yaaniKinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisibwa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.
Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Ni malaya pekee ndiye anayeweza kuhama bwana mmoja na kwenda kumtumikia bwana mwingine kwa akali ya pesaKihalisi shabiki kuhama timu sijawahi kuona tena timu 2 ambazo hasimu
Uzi ufungweNi malaya pekee ndiye anayeweza kuhama bwana mmoja na kwenda kumtumikia bwana mwingine kwa akali ya pesa
Ila kwa huyu kumuacha ndo nimeshangaa mno.inamaana kondeboya pamoja na kujinasibisha na utopolo kote hawajamwita?