trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Ila kwa huyu kumuacha ndo nimeshangaa mno.
Kondeboy yupo nje ya nchi anapiga show...yupo Australia kama sikosei.inamaana kondeboya pamoja na kujinasibisha na utopolo kote hawajamwita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwa huyu kumuacha ndo nimeshangaa mno.
Kondeboy yupo nje ya nchi anapiga show...yupo Australia kama sikosei.inamaana kondeboya pamoja na kujinasibisha na utopolo kote hawajamwita?
Wewe kama nani??Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.
Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Kama Mhe SimbachaweneUkienda Songea wakina Simba wapo wengi Sana na ni Mashabiki Lia lia wa Yanga
Simba ni jina la fahari haliepukiki kwa wanaotaka utemi.Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.
Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande vidogo vya fedha.
Nakushangaa wewe na wana utopolo wenzako mkidhani tunaumia.Simba mnapitia kipindi kigumu sanaView attachment 2656078
Kati ya vitu navyovipenda sana ni furaha,, nipo tayari kwenda popote pale cha msingi nipate furahaNi malaya pekee ndiye anayeweza kuhama bwana mmoja na kwenda kumtumikia bwana mwingine kwa akali ya pesa
Furaaaaaa ni kua na marafikiMondi anacheza na akili za watu yeye Yupo kibiashara Zaidi kwenye kampeni yupo, Simba ikiwa na mafanikio Yupo, utopoloni Yupo sitoshangaa nao Azam wakianza kufanikiwa nayeye atakuwepo pia hence nimtu wakimkakati
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna gazeti limeandika SIMBA NI YANGA. nimecheka sana
Kapewa ali kamwe akanunulie maandazi ya bakhressaBillion 20 ZETU kwanza
Billion 20 ZETU[emoji2][emoji2]daah kuongoza makolo Raha sanaKapewa ali kamwe akanunulie maandazi ya bakhressa