Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

Wee kumbe?? Mbna sina taarifa, wallah nimezeeka sasa khaaah
Siku hizi katulia anafanya kimya kimya....hata mimi sikuwa najua mdogo wangu ndio kaniambia baada ya kuona konde yupo kimya na huwa haachi trend au kiki impite.....kabidi nichungulie acc yake.
 
Tatizo sio diamond Bali ni viongozi wa Simba, sisi mashabiki wote wa Simba tulianza kuishabikia bila kushawishiwa na mtu yoyote.
Viongozi wa Simba wamekuwa wanaokosa watu wa ajabu kama wasanii au wanasiasa na kulazimisha au kuwapa nafasi wakati hata mpira wenyewe hawaijui zaidi ya kutaka kupata umaarufu kupitia Simba.
Hivyo inabidi wajifunze na kuacha kuhangaika au kulazimisha watu hao wawe Simba mara wanamfata spika eti mshabiki wa Simba wakati ukimwangalia tu unajua yeye na mpira tofauti
 
Siku hizi katulia anafanya kimya kimya....hata mimi sikuwa najua mdogo wangu ndio kaniambia baada ya kuona konde yupo kimya na huwa haachi trend au kiki impite.....kabidi nichungulie acc yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh kweli amekua sasa Konde boy.
 
Back
Top Bottom