Tatizo sio diamond Bali ni viongozi wa Simba, sisi mashabiki wote wa Simba tulianza kuishabikia bila kushawishiwa na mtu yoyote.
Viongozi wa Simba wamekuwa wanaokosa watu wa ajabu kama wasanii au wanasiasa na kulazimisha au kuwapa nafasi wakati hata mpira wenyewe hawaijui zaidi ya kutaka kupata umaarufu kupitia Simba.
Hivyo inabidi wajifunze na kuacha kuhangaika au kulazimisha watu hao wawe Simba mara wanamfata spika eti mshabiki wa Simba wakati ukimwangalia tu unajua yeye na mpira tofauti