Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!


Hakuna kiwango cha kumlea mtoto wako ni ukosefu wa akili na ustaarabu kusubiri serikali ikupangie kiwango kwa nyama na damu yako mwenyewe,ugomvi wake na mzazi mwenzie usimtoe kwenye mstari wa kua baba bora kwa kua anamudu kufanya kitu ni heri afanye kwa manufaa ya mwanae hizi saga zitamgharimu akumbuke hata yeye yuko mbali na baba ake kisa tu vurumai kati ya baba na mama ake na baba kutomlea ipasavyo kwa nafasi yake bora amlee mtoto wake kama anavyowalea wengine ikitokea mama akaamua kutumia vibaya anachopewa yeye anakua salama inawezekana hata baba ake Diamond alikua anatiwa ujinga na masela zake kua alete usela ila leo anajutia.
 
Mkuu Fanya kesho kwenda Ustawi Wa jamii magomeni ili ujue kinaga ubaga, Amini ninavyokwambia Hapo hakuna kesi...

Narudia tena Hapo hakuna kesi. Tunza hii comment. Hamisa mashoga na wanasheria wapenda fursa watamlia hela zake bure. Sheria Diamond anahitajika kulipa 70,000tsh kwa mwezi kwa malezi ya Mtoto, na hakuna adhabu ya kushindwa kutimiza hicho kiasi kwa sheria za Tanzania.


Hamisa kukosa Shule na ushauri Wa kina mange umempa jeuri akishindwa kujua hii ni Tanzania na tuna taratibu zetu tofauti kabisa na marekani. Kwa sheria za marekani child support ni issue kubwa ila bongo very minor issue .


Time will tell Hakuna kesi hapo ni kupotezeana muda tu
 
Hamisa na kusoma kote sheria LLB-UDSM kashindwa kung'amua hill?
 
Una maanisha diamond hamsaidii mwanae??? Umejuaje kama hamsaidii??? Kwa kusikiliza upande mmoja Wa kesi ??? Je, hivyo ndivyo tunapaswa kuamua mashauri ???


Nikwambie tu hiyo Ni ya Ustaw Wa jamii , Itapokelewa na kutupwa mikononi mwa probation officers Wa mahakamani ambao kitaaluma ni social workers kusaidia judgment ya mahakama, huko ndipo kesi itakapokwenda kuishia..
 

ngoja tuone litakavyokwenda,

Mashilawadu TV,kama nawaona watakavyokua busy,lol

mimi sijaamua lolote kuhusu hii kesi,

and certain I'm not a lawyer,

kama ishu ni kumtunza mtoto na yeye DAI anafanya hivyo,

sasa hii kesi,inatoka wapi??

natumaini huu ni mwanzo wa kuiangalia hio sheria,

labda ilitungwa zamani,(sijui),

ila kutoa laki mbili kwa mwezi ni ndogo,lol

badala ya kuweka kiwango fixed cha kutoa,

waweke pesa kutokana nas mzazi anacho earn,

PATAMU HAPOOOOOOOO ,

Mabazazi wote watatumia akili kabla ya kua undress.
 
Hamisa na kusoma kote sheria LLB-UDSM kashindwa kung'amua hill?
Mimi ningekuwa kaka Wa Hamisa Mobeto kwa kujua Kinagaubaga sheria ya ndoa na Mtoto ya Tanzania. Narudia tena SHERIA YA MTOTO NA NDOA YA TANZANIA Ningemshauri ajilie hela ya Domo taratibu bila ajizi,


Ambacho kimemponza huyu Dogo ni ulimbukeni Wa kutaka kupindua ndoa ya Zari Na Diamond (Najua wengi mnajiuliza Lini wamefunga Ndoa Hawa watu hahahaha kasomeni sheria ya ndoa Ya Tanzania , maana ya Dhana Ya Ndoa ). Diamond Akiachana na zari Leo shauri lake na mgawanyo Wa mali utakuwa tofauti kama akiachana na Hamisa Mobeto. Hapo nazungumzia Dhana ya Ndoa sheria yetu ya ndoa kama ilivyobainisha.
 
Just thinking in a DON CORLEON ways...

domo akatae mtoto sio wake na atake DNA ifanyike...then mafiosso wafanye kazi results zipikwe majibu yatoke na msala umrudie muuza bucha.

Kishujaa tuanze ziara ya sauzi kwa magoti na wazee wa busara watangulie kampala na posa yetu maraaaa paaaaap....ndoa hiyoo mara paaaap...wameuza madale wameamia masaki...maraaa paaap show za tz tunafuta...maraaaa eyoòoòoo laizaaaaaa amehamia sauzi mara paaap...wasaaafiiii records ipo sauzi maraaa paaappp....

hii post nimeandika nikiwa usingizini musiichukulie serious.
 
Rebecca sijui utaratibu wa kurekebisha sheria nani anahusika lakin kama ni Mjengoni (sheria haitobadilishwa kulingana na idadi kubwa ya wabunge kuwa wanaume bila kujali chama kumbuka Mwenyekiti wa Kambi Rasmi nae ana mtoto nje ya ndoa toka humo humo mjengoni. Patamu hapo.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 

poa mkuu,

usiku mwema,
 
Daimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................

Huyo anatamba na kutukana watu Instagram.. hajui kuwa hata hiyo dili ya vinywaji alivyofanyia party siku tatu mfululizo atazisikia kwa wengine na mengineyo mengi watamtema pwaaaaa..

Managers wake wanaonyesha wao pesa mbele na sio mengine kama kumshauri ajilinde na...
 
KWENYE SHITAKA LAKUZALILISHWA HAMISA HAWEZI SHINDA maana yeye ndio alianza mzalilisha daimond kwa hapo daimond anaweza kujitetea kwamba ni Jazba maana Hamisa alianza kusambaza ZILE picha ili kumzalilisha Hamisa nazan adil na matunzo ya mtoto tu.. ambayo atapewa eluf 70 ya serikali.. na sio laki mbili.. maana kwa tz sisi bado hatujafikia hatua za marekani kwamba child support inatokana na income ya mzazi
 
Mhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…