Fine, kama anataka kuwa full time mother anaruhusiwa na kwa mujibu wa sheria, tutatumia sheria ya maternity leave ambayo ni miezi 3!!!Kwa nini unasema Hamisa hawezi kuwa full time mother???
once ukishazaa every woman knows her responsibilities unless she is mentally ill,
Haiwezekani atake kuwa full time mother kwa zaidi ya miaka 18 au hata 3 kwa sababu tu aliezaa nae ana uwezo na hivyo alipwe!! Hivi sheria ingekuwa ndo hivyo kuna mtu ambae angeajiri mwanamke?!
Mwambieni kama hana kazi basi atafute kazi manake hata huko Scandinavia ambako wanawake wanalindwa sana nako hakuna sheria kama hiyo hiyo!!!
Atalipwa laki 2 kwa mwezi! Anayelipwa sio yeye bali ni pesa za matunzo ya mtoto! Hamisa isn't a surrogate mother anayepaswa kulipwa kwa sababu hiyo!yule aliezaa apewe SUPPORT,YES KWAKE NA MTOTO,
kama ni rahisi,mwambie /mmeo/mkeo leo nakaa na watoto wewe nenda kazini,
halafu tuone utafit vipi kwenye hio role
any work should have rewards,
Hamisa deserve it
Kama hana kazi, mwambieni atafute kazi ya kujikimu lakini asitumie mtoto kama kitega uchumi!
NOTE: Naomba ile breakdown ya 5M kwa mwezi manake naona kama unajisahaulisha hivi!!!