Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

mmmnh............................

eti mama atafute kazi ya kufanya,

hivi u know kulea kulivyo demanding????

kisha WOTE mkifanya kazi ,mtoto atamlea nani???

wewe sio tu huelewi,bali na ubishi juuu.....
Sawa, tufanye mimi ni mbishi. Nitajie nchi moja tu ambayo mama analipwa "mother support" manake hiyo haiwezi kuwa "Child Support". Nitajie tafadhali!!!!

nikisema percentage namaanisha kama sheriav itaweka 5% kwa kila mtu,then yule mwenye kipato letsay laki moja,atalipa 5,000 na wale akina DAI watalipa Zaidi,kwa kutumia hio 5%.......
Sawa Tina; yaani unachosema ni kwamba, assume 5% ya Diamond ni 10 Million, na 5% ya Hamisa ni laki 2; basi kila mwezi zitolewe 10,200,000 kwa ajili ya child support hata kama gharama halisi za matunzo ni Sh. 500,000?! Hiki ndicho unachosema?
hio Dunia unayosema wewe watu wanaaacha kazi,tena sana tu na kulea,unless una hela ya kuwapa nannies.............
Nakubali! Je, mwanamke huwa anaacha kazi bila kushauriana na mwenzake ili eti awe analipwa na mwenza wake; au?!
sikumaanisha baban hapo niliposema mmoja wao alee mwingine atafute pesa,unanisingizia bure,kiukweli nishawahi kuwaona wababa wanakaa na watoto full time,,,,,,
Huu tunaita ujanja wa mbuni kuficha kichwa kwenye udongo wakati mwili wote upo nje!!! You and I both know mtoto mdogo ni lazima akae na mama yake na kwahiyo atakayelipa ni baba!

BREAKDOWN, Maziwa, pampers, wipes, baby shampoo, baby soap, baby oil, nguo, viatu, antbacteria handwash, hair (brazilliani)!, facial, kuosha miguu, kutengeneza kucha, nguo, viatu, BANDO LA KUCHAT
Nice try Tina lakini 5M haiwezi kutoka kirahisi hivyo manake ulichofanya ni kutaja taja vitu tu hadi vingine unarudia mara mbili!

Smartphone je? Nahisi umesahau! Umesahau hadi gharama za kumlipa atayendesha Instagram Account yake and in fact, itabidi afunguliwe na akaunti za Twitter, Facebook, JF, Badoo, Snapchat, Pinterest, Match.com na zingine kedekede! 5 Million haiwezi kutoka bila energy!
 
Nlisema hili jambo kua 70000 ndio haki yke na chibu anauwezo wa kusema ntatoa laki au laki unusu na mahakama ikaridhia hilo...huyo dada amepewa mchongo hewa nae kajaa kufungua case
Wakili amemdanganya ili apige hela ya bure ila mwisho wa siku anajua huyo mama hafiki kokote
 
Nafikiri target yake ni kuwalipa baada ya kumpukutisha Diamond.
Kama ndivyo, basi ataishia kulipa kipochi manyoya manake child support Tanzania katu haiwezi kutoa pesa ya kutoshelezza kumlipa wakili!

Na mbaya zaidi, tayari kuna mentality ambayo ni ya kweli kwamba wasichana wanapenda watu wenye pesa ili wawageuze kitega uchumi!!! Matokeo yake, sheria ita-stick kwenye gharama halisi za matunzo ya mtoto, of course, kwa kutegemea na life style ya wazazi wake!
 
tulopitia ii kitu tukutane!!ndio utatoa elfu 70 ila kwa mwanamke kama uyo utaomba mtoto afe kesho ashakum si matusi na hata ikitokea bado mwanaume utaona hajafa mana utadaiwa hela za kuzaa nae
 
Huyu limbukeni, atawaweka watoto wake katika shida na masimango huko waendako
 
Siku Zari anadai hela ya matunzo mniite
Hahahahah unafikiri kwa ile kichwa ya kiganda itakuwa sawa na hii takataka ya Tandale? Yule atafanya calculated moves ambazo kwa hakika hatomuacha domo salama ikibidi asepe na mijengo kadhaa mjini!
 
Anaetakiwa kusistiza domu ni mwanamke au mwanaume,mtoto kazaliwa tayari ni baraka hiyo ila 70000 ndio mpango mzima labda chibu amuonee huruma

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Hawajifunzi kwa Faiza na Sugu,ingekuwa child support ya kibongo issue I think Faiza angekuwa wa kwanza kunufaika,nashukuru Mungu tu kwa hicho hicho atachopata
 
hili lidada lijinga sana na halijui kula na kipofu
Tulishaongeaga haya siku ya kwanza kuna watu wakadai ooh recognition muhimu sijui nini na nini...Oh mtoto lazma ajulikane ni wa Diamond na blah blah blah kibao, kiko wapi sasa.
Sasa kashajlikana ni mtoto wa star ila ataishi maisha ya kawaida na tabu kwa sababu ya uhasama alioutengeneza mama yake kutaka kiki za kijinga instagram na kufuata ushauri wa kipumbavu wenye lengo la kuvuruga image ya diamond.

What if angeendelea na approach ya low pro huku akigema benefits nyingi zaidi kwa kutunza siri akifanya maisha kwa kuheshimiana na uhalisia kuwa diamond ana mwanamke mwengine kama main chick. Kwanza diamond angempenda zaidi na kumheshimu maana pia alishakuwa willing kumtunza sasa sahivi kwa ujinga wake asubirie elfu 70 kwa mwezi na aibu kwa kushindwa kesi na kuonekana kituko zaidi ya Diamond!
 
Huu mwaka unaisha vibaya kwa domo, pumbavu zake ndio arekebishe flies yake maana anajitiaga zipu mbovu sana. Unapata mwanamke wa maana kama Zari unamchanganya na matakataka ya uswahilini. Jinga kabisa
 
Hapo kwenye RED, hadi sasa ingekuwa amevuna hata 50M tangu mtoto azaliwe na hapo kwenye BLUE, ni kiherehere chake tu Hamisa manake, kama shida ilikuwa ni kutaka ifahamike ni mtoto wa Diamond, wala isingechukua muda mrefu bila kufahamika! Lakini ingefahamika wakati bado wapo kwenye maelewano mazuri na kwahiyo angeendelea kutandika mafao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…