Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

You nailed it man, asieelewa na hili apimwe mkojo! This woman is stupid of a kind!
 
Sheria wengi ni mbumbumbu. Ila zitamletea mtu majanga. Ngoja akapewe hela kama house girl
 
Nadhani unamaanisha apige utamu wa bure!!
Hahahahah ofcourse kwa akili ya huyo mwanamke hata hizo fix alizopigwa zinaweza kuwa zilisindikizwa na kupigwa mkojo kwenye moja ya hoteli hapa jijini.
 
Yani ulikuwa ni mkataba rahisi sana ambao ungemfanya aishi maisha ya starehe sana na mtoto wake huku akifunguliwa miradi kibao ya kimaendeleo aachane na lifestyle ya udangaji.
Angezila pesa nyingi mno if she would have only managed to keep her beak shut! Poor hamisa...
 
Hahahah kumbe walimpaisha tu
Si unajua watoto wa Uswahilini ujanja ujanja mwingi!!! Hamisa baada ya kuanza kupata umaarufu, akashiriki shindano la Miss University East Africa. Sasa watu walipoona anashiriki Miss University, wakadhani ni mwanafunzi wa chuo kikuu kumbe ni Form IV tu!
 
Angezila sana za Diamond na hata mjengo angenunuliwa hata kama ni wa kawaida! Na endapo baada ya siri kuvuja Zari angejifanya kuja juu kama alivyofanya sasa, hapo Hamisa ingekuwa ndo ameachiwa nyumba rasmi na kuendelea kupiga maisha mdogo mdogo!!!!!
 
Kwani kuna siku Diamond alikataa kutunza mtoto?! Mbona ishasemwa sana kwamba Diamond anahudumia tangu ikiwa mimba na wala hakuwahi kukataa! Na hata sasa anatoa pesa ya matunzo!!!
 
Angezila sana za Diamond na hata mjengo angenunuliwa hata kama ni wa kawaida! Na endapo baada ya siri kuvuja Zari angejifanya kuja juu kama alivyofanya sasa, hapo Hamisa ingekuwa ndo ameachiwa nyumba rasmi na kuendelea kupiga maisha mdogo mdogo!!!!!
Shida iliomponza ni uswahili na keherehere tu, hana akili kabisa yani. Na maisha ya kutafuta hawezi ndio hapo atapokoma sasa. Ni type ya wale wanawake wa kulelewa ye awe anatumbua tu hana anacho offer zaidi ya uchi.
 
Shida iliomponza ni uswahili na keherehere tu, hana akili kabisa yani. Na maisha ya kutafuta hawezi ndio hapo atapokoma sasa. Ni type ya wale wanawake wa kulelewa ye awe anatumbua tu hana anacho offer zaidi ya uchi.
Na ndio maana Waswahili wakasema mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!!!
 
Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
Nayeye baba mtoto mpumbavu,kwanini azae na watu wa type iyo wakati anae mke.mwache atiwe adabu.ili ajifunze.
 
Mkuu ustawi wa jamii hawaangalii mfuko wako mimi na ushahidi wa mtu wa karibu tena mwenye uwezo,alikua anatoa 70000 kila mwezi mpka mwanamke akaomba wayamalize wenyewe ili jamaa aongeze hata 150000....shida ya dada zetu wanafikiria kuvuna tu
Waeleze mkuu, kuanza kuweka masharti kwamba yatakiwa hiki au kile hakuna, swala ni lishe, elimu na malazi...Hamisa hataamini yatakayomkuta, siyo kirahisi kama afikiriavyo, mwanaume watakiwa kuchangia kila wiki au mwezi, kusomesha, mwanamke akishindwa kaa na mtoto anapelekwa kwa baba..
Ila kama Hamisa atategemea avae dhahabu kwa hela ya maziwa anayoletewa asahau kabisa..!
 
Aisee mkuu kuna watu wanashabikia wakati wanapokea 500k na maisha yanasonga,bora angebembeleza ajengewe nyumba na miradi mingine kwa ajili ya kuendeleza kipato cha mtoto tatizo hata hiyo M5 anayotaka itaishia kwenye nguo na nywele nasio kwa future ya mtoto,mwanaume sio mtu wa kushindana nae au kulazimisha
 
Ila kwamba hata hiyo 5M itaishia kwenye nguo na nywele za mama upo sahihi kwa 100%! Na hilo la nyumba, mimi naamini kama asingelikoroga huyu demu, wala isingefikia kubembeleza; hata ya kununuliwa angenunuliwa tu!!! Na hata mradi angefunguliwa.
 
kwahiyo mnataka kutumia huu uzi wa uzinzi kuzima tulioambiwa jana wale wauaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…