Christina84
Member
- Aug 5, 2017
- 74
- 50
Mara nyingi hela zinazo toka kwa ajiri ya kumlea mtoto huwa hazitumuki kwa kumlea mtoto zinakuwa kwa ajiri ya mama
lol nimeipenda hiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi hela zinazo toka kwa ajiri ya kumlea mtoto huwa hazitumuki kwa kumlea mtoto zinakuwa kwa ajiri ya mama
You nailed it man, asieelewa na hili apimwe mkojo! This woman is stupid of a kind!Kumbe ungekuwa wewe ndo Diamond ungefanyaje?! Wakati wa ujauzito alikuwa anahudumia above many men would do; 70K per day! Diamond alipotaja hicho kiasi watu waliamini anatafuta kiki. Majuzi baada ya Idris Sultan kumzingua Hamisa, povu la Hamisa kwa Idris likathibitisha ukweli wa 70K.
View attachment 603014
Hizo sehemu nilizo-underline zinathibitisha kwamba ni kweli Hamisa alikuwa anazilamba 70K daily na usafiri juu! Hapo ilikuwa hata mtoto hajazaliwa!!
Sasa kama mtu aliweza kuhudumia mimba kiasi hicho, ndo angeshindwa mtoto?!!
Matokeo yake, Hamisa akakutana na wajinga wenzake akaanza kuwasikiliza badala ya kuendelea kula na kipofu bila kumgusa mkono!!! Kwavile walishatibuana, Chibu akasema okay, you're issue now will be handled na mwanasheria wangu manake sihitaji hata kuonana na wewe!!! Sheria inasema 70K kwa mwezi or probably less; Chibu akasema nitatoa 200K; above legal limit!!!
Hamisa na tamaa zake anataka 5M kwa mwezi! Milioni tano kwa mwezi huyo mtoto anakunywa maziwa ya almasi na dhahabu, au?! Au anavaa pampers zilizotengenezwa kwa madini?!!!
Mjini kuna wanawake kibao, tena wengine na status zao kuliko Hamisa lakini wamezaa na committed men na wanazitandika pesa za hao wanaume kimya kimya bila upande wa pili kufahamu!!!
Kinyume chake, Hamisa akadhani akiweka public atakuwa anamkomoa Zari na matokeo yake, hivi sasa anadhihirisha msemo kwamba, "mtaka yote kwa pupa, hukosa yote kwa pupa!" kwa sababu hakuna mahakama itakayokubali eti alipwe Sh 5/mwezi wala 2 Million!!!
In short, huyu demu ni mjinga kama sio mpumbavu!!! Na utakavyojua huyu demu ni mjinga ni pale anapodai amedhalilishwa na kutaka aombwe radhi wakati ni yeye ndie alikuwa anavujisha picha za chumbani!!!
Sheria wengi ni mbumbumbu. Ila zitamletea mtu majanga. Ngoja akapewe hela kama house girlAtoe hela ya kutunza mtoto, karma is a bitch, alimsema sana baba ake kuwa hakumtunza na ndio maana na yeye hataki hata kumtibu baba ake anapoumwa, sasa na yeye anataka apite mulemule?! Atoe maana huenda na baba ake hakutoa kulingana na madai ya mama ake kutaka kiasi amabacho mzee hakuweza kukimudu, aache hii laana maana na yeye kazaa wa kiume vile vile akate huu mnyoror wa kuleta chuki baiana ya baba na mwana, atoe hiyo hela kama Hamisa hata ichukua ni shauri yake, aende kuona mtoto na kutoa pesa maana mtoto anamuhitaji baba pia.
Hahahahah ofcourse kwa akili ya huyo mwanamke hata hizo fix alizopigwa zinaweza kuwa zilisindikizwa na kupigwa mkojo kwenye moja ya hoteli hapa jijini.Nadhani unamaanisha apige utamu wa bure!!
Na ukiwa na hela usifanye mambo ya kiswahili ili usikutane na mambo ya uswahilini!Ukiwa na hela usiombe kuzaa na mwanamke wa kiswahili , utakoma !
Tunarudi kule kule! Huyo atakayelipa ni mwajiri na sio baba! Baba always atalipa child support na sio mother support unless wakubaliane kwamba mama aache kazi kwa ajili ya mtoto!!!
Yani ulikuwa ni mkataba rahisi sana ambao ungemfanya aishi maisha ya starehe sana na mtoto wake huku akifunguliwa miradi kibao ya kimaendeleo aachane na lifestyle ya udangaji.Hapo kwenye RED, hadi sasa ingekuwa amevuna hata 50M tangu mtoto azaliwe na hapo kwenye BLUE, ni kiherehere chake tu Hamisa manake, kama shida ilikuwa ni kutaka ifahamike ni mtoto wa Diamond, wala isingechukua muda mrefu bila kufahamika! Lakini ingefahamika wakati bado wapo kwenye maelewano mazuri na kwahiyo angeendelea kutandika mafao!!!
Hahahah kumbe walimpaisha tuHamisa kaitolewa wapi hiyo LLB? Ni Form IV leaver yule tena Tandika Secondary!
Si unajua watoto wa Uswahilini ujanja ujanja mwingi!!! Hamisa baada ya kuanza kupata umaarufu, akashiriki shindano la Miss University East Africa. Sasa watu walipoona anashiriki Miss University, wakadhani ni mwanafunzi wa chuo kikuu kumbe ni Form IV tu!Hahahah kumbe walimpaisha tu
Angezila sana za Diamond na hata mjengo angenunuliwa hata kama ni wa kawaida! Na endapo baada ya siri kuvuja Zari angejifanya kuja juu kama alivyofanya sasa, hapo Hamisa ingekuwa ndo ameachiwa nyumba rasmi na kuendelea kupiga maisha mdogo mdogo!!!!!Yani ulikuwa ni mkataba rahisi sana ambao ungemfanya aishi maisha ya starehe sana na mtoto wake huku akifunguliwa miradi kibao ya kimaendeleo aachane na lifestyle ya udangaji.
Angezila pesa nyingi mno if she would have only managed to keep her beak shut! Poor hamisa...
Kwani kuna siku Diamond alikataa kutunza mtoto?! Mbona ishasemwa sana kwamba Diamond anahudumia tangu ikiwa mimba na wala hakuwahi kukataa! Na hata sasa anatoa pesa ya matunzo!!!Atoe hela ya kutunza mtoto, karma is a bitch, alimsema sana baba ake kuwa hakumtunza na ndio maana na yeye hataki hata kumtibu baba ake anapoumwa, sasa na yeye anataka apite mulemule?! Atoe maana huenda na baba ake hakutoa kulingana na madai ya mama ake kutaka kiasi amabacho mzee hakuweza kukimudu, aache hii laana maana na yeye kazaa wa kiume vile vile akate huu mnyoror wa kuleta chuki baiana ya baba na mwana, atoe hiyo hela kama Hamisa hata ichukua ni shauri yake, aende kuona mtoto na kutoa pesa maana mtoto anamuhitaji baba pia.
Shida iliomponza ni uswahili na keherehere tu, hana akili kabisa yani. Na maisha ya kutafuta hawezi ndio hapo atapokoma sasa. Ni type ya wale wanawake wa kulelewa ye awe anatumbua tu hana anacho offer zaidi ya uchi.Angezila sana za Diamond na hata mjengo angenunuliwa hata kama ni wa kawaida! Na endapo baada ya siri kuvuja Zari angejifanya kuja juu kama alivyofanya sasa, hapo Hamisa ingekuwa ndo ameachiwa nyumba rasmi na kuendelea kupiga maisha mdogo mdogo!!!!!
Na ndio maana Waswahili wakasema mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!!!Shida iliomponza ni uswahili na keherehere tu, hana akili kabisa yani. Na maisha ya kutafuta hawezi ndio hapo atapokoma sasa. Ni type ya wale wanawake wa kulelewa ye awe anatumbua tu hana anacho offer zaidi ya uchi.
Umalaya c kitu kizuri.Ngoja nipite tu ila njaa mbaya sana
Nayeye baba mtoto mpumbavu,kwanini azae na watu wa type iyo wakati anae mke.mwache atiwe adabu.ili ajifunze.Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
Waeleze mkuu, kuanza kuweka masharti kwamba yatakiwa hiki au kile hakuna, swala ni lishe, elimu na malazi...Hamisa hataamini yatakayomkuta, siyo kirahisi kama afikiriavyo, mwanaume watakiwa kuchangia kila wiki au mwezi, kusomesha, mwanamke akishindwa kaa na mtoto anapelekwa kwa baba..Mkuu ustawi wa jamii hawaangalii mfuko wako mimi na ushahidi wa mtu wa karibu tena mwenye uwezo,alikua anatoa 70000 kila mwezi mpka mwanamke akaomba wayamalize wenyewe ili jamaa aongeze hata 150000....shida ya dada zetu wanafikiria kuvuna tu
Aisee mkuu kuna watu wanashabikia wakati wanapokea 500k na maisha yanasonga,bora angebembeleza ajengewe nyumba na miradi mingine kwa ajili ya kuendeleza kipato cha mtoto tatizo hata hiyo M5 anayotaka itaishia kwenye nguo na nywele nasio kwa future ya mtoto,mwanaume sio mtu wa kushindana nae au kulazimishaSio kunielewesha ni ngumu bali unashindwa kuelewesha kitu ambacho hakiwezekani!!!!
Wewe unachotaka mtoto awe mtaji wa mama na ndio maana umefikia kusema full time mother! Yaani mwanamke ushinde nyumbani kulea mtoto miaka nenda rudi; kisa?!
Na unaposema 70K kwa wengine ni pesa ya juice unarudi kule kule kwamba, sio itolewe pesa kulingana na gharama halisi za matunzo bali zitolewe pesa hata mara milioni moja ya gharama halisi kwa sababu tu baba ana uwezo!!!!!
Hilo suala la kwamba hizo pesa atoe baba au mama ni janja yako tu lakini unachomaanisha ni baba kwa sababu ndio wanaokuwa katika mazingira ya kulipa child support kwa sababu, sheria inataka mtoto akae na mama yake na kwahiyo ni baba ndie awe analipa hizo pesa!!!
Kwamba hiyo 5M iwe ni kwa mtoto na mama; HAIWEZEKANI! Mama atafute kazi ya kufanya na sio kugeuza mtoto ndie kazi yake! Duniani kote hakuna ambako mwanamke anaacha kazi kabisa kwa ajili ya kulea na akifanya hivyo, atafanya kwa mapenzi yake na asimdai yeyote chochote!!!!
Kwamba nina mke, oh! Sina mke na kama wanawake wenyewe ni aina ya Hamisa wanaotaka kugeuza wanaume mitaji; katu haitatokea niwe na mke!!!!
Tina, acha ujanja ujanja bhana, my breakdown please!!
Ila kwamba hata hiyo 5M itaishia kwenye nguo na nywele za mama upo sahihi kwa 100%! Na hilo la nyumba, mimi naamini kama asingelikoroga huyu demu, wala isingefikia kubembeleza; hata ya kununuliwa angenunuliwa tu!!! Na hata mradi angefunguliwa.Aisee mkuu kuna watu wanashabikia wakati wanapokea 500k na maisha yanasonga,bora angebembeleza ajengewe nyumba na miradi mingine kwa ajili ya kuendeleza kipato cha mtoto tatizo hata hiyo M5 anayotaka itaishia kwenye nguo na nywele nasio kwa future ya mtoto,mwanaume sio mtu wa kushindana nae au kulazimisha
kwahiyo mnataka kutumia huu uzi wa uzinzi kuzima tulioambiwa jana wale wauaji?Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.
Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.
Wakili Zulu akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.
“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.
Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.