Christina84
Member
- Aug 5, 2017
- 74
- 50
Tunarudi kule kule! Huyo atakayelipa ni mwajiri na sio baba! Baba always atalipa child support na sio mother support unless wakubaliane kwamba mama aache kazi kwa ajili ya mtoto!!!
Tena unafikiri suala la elimu lipo sehemu ya matunzo ya mtoto basi!!Waeleze mkuu, kuanza kuweka masharti kwamba yatakiwa hiki au kile hakuna, swala ni lishe, elimu na malazi...Hamisa hataamini yatakayomkuta, siyo kirahisi kama afikiriavyo, mwanaume watakiwa kuchangia kila wiki au mwezi, kusomesha, mwanamke akishindwa kaa na mtoto anapelekwa kwa baba..
Ila kama Hamisa atategemea avae dhahabu kwa hela ya maziwa anayoletewa asahau kabisa..!
Si nilisikia Hamisa ana LLB (Lower Second) ya University of Dar es Salaam School of Law hapo alipo anasubiri kwenda Law School. DOMO ulitoka wapi na huyo dada mwanasheria msomi? Na wewe mengine unajitafutiaga balaa mwenyeweHamisa kaitolewa wapi hiyo LLB? Ni Form IV leaver yule tena Tandika Secondary!
Yah, lakini usisahau hizo ni sheria za UK na kama tulivyosema, kwa Sweden up to 21 years provided mtoto bado yupo shule! Kuhusu hiyo Vardags, inaonekana ni credible source lakini application yake itakuwa tofauti kati ya wanandoa (au hata mahawala) waliokuwa wanaishi pamoja na wakaachana na wazazi ambao walikutana tu, kila mmoja na kwake halafu wakazaa!!!nimeipata!
kumbe anaweza kupewa kila kitu,
ila mtoto akifikisha 18 years old,anaweza kuclaim back alivyotoa,
basi na hii uispin,lol
sijui credibility ya hii site,ila naona imeeleza vizuri Schedule 1 https://vardags.com/family-law/guide-to-child-maintenance-for-unmarried-parents/
Hapo mama anapigania maslahi yake binafsi na si ya mtoto.Mara nyingi hela zinazo toka kwa ajiri ya kumlea mtoto huwa hazitumuki kwa kumlea mtoto zinakuwa kwa ajiri ya mama
Kabisaaaa,yaani huyu mtoto kachezea shilingi chooni kwa sifa zake za kipumbavu.Hapo kwenye RED, hadi sasa ingekuwa amevuna hata 50M tangu mtoto azaliwe na hapo kwenye BLUE, ni kiherehere chake tu Hamisa manake, kama shida ilikuwa ni kutaka ifahamike ni mtoto wa Diamond, wala isingechukua muda mrefu bila kufahamika! Lakini ingefahamika wakati bado wapo kwenye maelewano mazuri na kwahiyo angeendelea kutandika mafao!!!
Nasikia ni drop out, form twoHamisa kaitolewa wapi hiyo LLB? Ni Form IV leaver yule tena Tandika Secondary!
Hahahaa!!! Yaani Hamisa huyu huyu anayejaza mipicha ya 40 ya mwanae Instagram halafu asijaze mipicha ya joho la yunivasiti!!! Au wanasema amegraduate mwaka huu ingawaje hana picha hata moja alivyopiga kwenye viunga vya Mlimani!!!!Si nilisikia Hamisa ana LLB (Lower Second) ya University of Dar es Salaam School of Law hapo alipo anasubiri kwenda Law School. DOMO ulitoka wapi na huyo dada mwanasheria msomi? Na wewe mengine unajitafutiaga balaa mwenyewe
Yah, lakini usisahau hizo ni sheria za UK na kama tulivyosema, kwa Sweden up to 21 years provided mtoto bado yupo shule! Kuhusu hiyo Vardags, inaonekana ni credible source lakini application yake itakuwa tofauti kati ya wanandoa (au hata mahawala) waliokuwa wanaishi pamoja na wakaachana na wazazi ambao walikutana tu, kila mmoja na kwake halafu wakazaa!!!
Na wanaolengesha waelewe hivyo! Wasifikiri kulengesha ni kete au kutoka kimaisha...Tena unafikiri suala la elimu lipo sehemu ya matunzo ya mtoto basi!! Sheria inasema elimu ni jukumu la wazazi wote wawili kwahiyo haliingii kwenye child support. Child Support ni kwa ajili ya ku-support the basic living requirements of a child
Halafu alivyo mtu wa ajabuKabisaaaa,yaani huyu mtoto kachezea shilingi chooni kwa sifa zake za kipumbavu.
Yaani hadi sasa angeweza hata kumiliki biashara yake binafsi na akaendelea na maisha yake bila shida. Kwa sasa anachodai si matunzo Bali anaonyesha ni kiasi gani hawezi kujitafutia kipato zaidi ya kutegemea papuchi.
Huyu dada angesoma hivyo wasemavyo sidhani kama angekurupuka kuzaa na wanaume hovyo hovyo au kuonyesha micharuko yake, waliosoma kihivyo wangesema asante kwa mtoto na kutunza, baba akileta hewala..Hahahaa!!! Yaani Hamisa huyu huyu anayejaza mipicha ya 40 ya mwanae Instagram halafu asijaze mipicha ya joho la yunivasiti!!! Au wanasema amegraduate mwaka huu ingawaje hana picha hata moja alivyopiga kwenye viunga vya Mlimani!!!!
Mwisho wa hili sakata utatoa funzo sana! Kuna wengine maju'ha! Wakisikia Eddy Murphy nalipa thousands of dollars for child support wala hawaangalii mazingira yapo vipi na hivyo wanadhani hata huku utapewa mamilioni!!!!Na wanaolengesha waelewe hivyo! Wasifikiri kulengesha ni kete au kutoka kimaisha...
INgekuwa amesoma, hivi sasa ingekuwa anazitafuna pesa za Diamond kimya kimya; bila mayowe sana sana ingekuwa anasubiri mtoto afike japo miaka miwili akachukue LLM manake mlipaji yupo!!!Huyu dada angesoma hivyo wasemavyo sidhani kama angekurupuka kuzaa na wanaume hovyo hovyo au kuonyesha micharuko yake, waliosoma kihivyo wangesema asante kwa mtoto na kutunza, baba akileta hewala..
Na hapo ndipo atakapoanza kuzikumbuka zile 70K za kila siku!!!Sheria wengi ni mbumbumbu. Ila zitamletea mtu majanga. Ngoja akapewe hela kama house girl
Mbona hapeleki au Hamisa hataki anataka 5M !!!Sasa mbona hata hizo 70000 hapeleki???
Sawa kabisa, tatizo ni uvivu wa kufikiri, kupenda ubwete na kufikiria kuzaa na mtu ni deal, wasahau kabisa, kisheria huyu dada ataumia kuliko angekuwa mpole, sasa kayaweka hewani na kisheria angalia itakavyo kula kwake, yeye Diamond apate tu mwanasheria mzuri na mjuzi wa haya mambo..Mwisho wa hili sakata utatoa funzo sana! Kuna wengine maju'ha! Wakisikia Eddy Murphy nalipa thousands of dollars for child support wala hawaangalii mazingira yapo vipi na hivyo wanadhani hata huku utapewa mamilioni!!!!Kuna mtu katoa mfano mzuri sana! Kama wanadhani child support ni deal kiasi hicho basi Faiza Ally hivi sasa angekuwa milionea!!! Tena kwa Faiza Ally angekuwa na uwezekano mkubwa zaidi kwa sababu alikuwa anaishi pamoja na Sugu!!!