Itakuwa kagame cupHivi huyu mwanamuziki ni kombe la dunia ipi analosubiri kuimba?
Oya diamond amezndua kweli au ilikuwa fununu2KOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.
Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Ruge na clouds ndio walizuia kwenda kufanya huo uzinduzi?Clouds FM na Ruge sijui km watafurahi tena ...yule Ruge kimeo sana. Diamond blessed dogo.
Kumbe hakwenda???Hivi huyu mwanamuziki ni kombe la dunia ipi analosubiri kuimba?
Atazindua likiishaWoldu kapu si haijaisha lakini?
Kombe la dunia lakunywea mbegeHivi huyu mwanamuziki ni kombe la dunia ipi analosubiri kuimba?
Atazindua fainali.Atazindua likiisha
AhahaaaLa Tandale
Ahahahaaaaa walienda kumzibia kwa waandajiNasikia anasema kina ruge walimbania asiende
Itakuwa alibanwa na tumbo la kuharaKumbe hakwenda???
Labda alipata dharura
🙄🙄
Kazi IPO!Ruge na clouds ndio walizuia kwenda kufanya huo uzinduzi?
Au anasubiri Siku ya kufunga?
Wabongo bwana!
Ahahaaa
Nipo bna nafurahi kukuona .japo huwa tunatofautiana na kupingana kimawazo na kimsimamo sisi ni familia.Upo binti?
Furaha nimepata kwa kusoma tena post yako humu baada ya likizo.