Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Kipindi unaandika hii habari ulitumia chanzo kipi cha habari maana hao wasanii wote uliosema wataperform kombe la dunia hakuna hata mmoja aliyeperform. Wimbo wa cocacola we ukadai wa fifa.
 
naona mashabiki wake wameingia mitini kulikoni wadau....labda ataimba mwishoni siku ya fainali
 
KOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
84c95c7c5b3f76b38c2252cfe8737e31.jpg

Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
20333f06e3fb87930a0e0ba69f86c611.jpg

Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.

Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Oya diamond amezndua kweli au ilikuwa fununu2
 
Nasikia anasema kina ruge walimbania asiende
 
"Jason Derulo Pulls Out Of Fifa Opening Ceremony Due To Flight Delay

Derulo had to back out at the last minute.
Jason Derulo was scheduled to perform the official FIFA World Cup tournament song during this year's opening ceremony. However, the American crooner will not be able to attend the spectacle due to some unforeseen issues.

Derulo planned on debuting his new track Colors at Moscow's Luzhniki Stadium in front of 80,000 jubilant soccer fans celebrating the sport's most bombastic series. However, a delayed flight en route to Russia effectively nullified any opportunity for the hitmaker to entertain the sizeable audience with his smooth vocals and commendable dance skills.

Instead, singer Robbie Williams and Russian soprano vocalist Aida Garifullina will now headline the event."

Sasa Diamond.. atujuze
 
Back
Top Bottom