Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Mange atasema sio kweli, shoo kadandia diamond
 
Safi sana diamond, hongera kijana, ila Mimi team kiba, suala la utaifa halina itikadi.
 
Kuna siku ilikuja thread moja inaonesha gari matata ya Rose Royse na wakadai inakuja Tanzania na itapaki madale. Mpaka leo sijawah kuiona au ilirudishwa.
 
do! hii mpya kabisa kwahiyo wasomi wote wapigaji? lakini kama kunaukweli fulani kasoro hapa madaktari na wauguzi pamoja na waalimu waliobaki wote wapigaji mfano, wahandisi wanatengeneza vitu dhaifu si kwa malipo ila wale wa yale majengo ya TBA hawamo, wanasheria inayemlipa ndo mshindi,wahasibu ndo usiseme hawa ni balaaa wapigaji mpaka hospitali mara nyingi hawakosekani mahakamani kweli bana!
 
Picha ya hilo kombe linaogopesha lilivyokaa hiyo mimacho duh!
 
Ni mwanamuziki pekee Tanzania anayejua kucheza na soko.
 
Nashangaa saana nyimbo zake znazofanya vizuri nje ya nchi apa bongo zimefungiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…