BUNDI ALBINO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 415
- 612
YahYeah ni kweli mkuu, Kwa ujumla zote zitachezwa mbele ya mabilioni ya watu watakaokua wakifatilia kombe la dunia, Zitakua zinapoekezana katika matangazo
Hahaa mkuu watu walikuwa bize na ndoa ila naskia anaachia goma litakalo shika no za juu kwenye chart za billboard kwa week kadhaaHata Kiba Naye Kashirikishwa Sema HAPENDAGI SHOW OFF
Mbona hakuns sehem iliyotajwa tz?
Hatimae kijana wetu ambaye ni nembo ya taifa katika tasnia ya muziki katuwakilisha na kutuweka kwenye ramani ya dunia
Ikiwa ni siku chache zimebaki kwa kombe la dunia kuanza msanii Diamond Platnumz kwa kushirikiana na Msanii maarufu wa Marekani, Jason Derulo wametoa ngoma itakayochezwa katika matangazo ya kombe la dunia
Kwa hakika hii nyimbo itatutangaza Tanzania katika masikio na mboni za mabilioni ya watu waanaosubirira kwa hamu kombe la duniaππ Ni kazi maridhawa kabisa inayoenda kwa jina la "colours"
Kwa sasa ni audio pekee imetoka, Tujivunie vya kwetu na tufurahie juu ya hii rasilimali ambayo Tanzania tumeipata
Mkuu kiswahili tumejifunza kwa kusikia na si kukaa chini na kuanza kufundishwa.Hivi nani aliwafundisha kusema, "hii nyimbo"
Huu wimbo.Hivi nani aliwafundisha kusema, "hii nyimbo"
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji14]Hata Kiba Naye Kashirikishwa Sema HAPENDAGI SHOW OFF
Zote zitatumikaππ mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.
Diamond hakumuomba Jason bali former creative director of MTV Base Tim Horwood alipewa kazi ya kuchagua wasanii kufanya kazi na Jason na hiyo project Diamond kalipwa kufanya nyimbo na kuperform (Refer intv with lil ommy) .Daimond hakumuomba darulo bali uwezo wake ndio umemuwezesha kuwepo ktk hiyo list.Zote zitatumikaππ mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.
Kwa mara nyingine tena DIAMOND PLATNUMZ kafanya ambayo watanzania wengi hatukufikiria yangewezekanaππ